kwa upande wa dini ya kiislam, Muumba alikuwa keshajua toka dunia alipoiumba Kama kuna udhaifu kwa wannawake ambao unatokana na sababu nyingi tunazozijua na tusizozijua, Ndio maana akabainisha katika kitabu chake kitukufu. Süratlul Nisaa (sura ya wanawake) aya ya 3
…..,,"basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu”……
Hii offer hapati tabu mwanamke wala mwanamme.
Wanawake kwenye ukewenza anakuwa na jitihada za ziyada İli ahakikishe anafanya vizuri, na mwanamme na yeye akili na mwili huimarika vizuri kwa sababu anapata utulivu wa kutosha, Hakuna msongo wa mawazo.
Naomba msinikashifie dini yangu kWa sababu kuna magwiji hapa ukumbini wao kazi zao kukashifu dini za wenzao.
Kama haijakupendezea pita tuu
Ahsanteni