MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Mchepuko wenyewe sasa, alafu unataka tutulie vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini utafiti uliofanyika majuzi dar es salaam ulionyesha wanawake ndio wanaongoza kwa kuchepuka.Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.
Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.
Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.
Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?
Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.
Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.
Ni mada nimeona niilete.
Asante ni.
Usidaganye mwezako tunatulia sanaaaa tena sana tu.Watatulia kaburini 😂
Tofauti na hapo usijivunje kiuno madam. Hawatuliagi, na hawajui kutulia.
Tunawajua 😂Usidaganye mwezako tunatulia sanaaaa tena sana tu.
Wewe unajua 😄🔥🔥🔥🔥🔥🔥Watatulia kaburini 😂
Tofauti na hapo usijivunje kiuno madam. Hawatuliagi, na hawajui kutulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapo wanaotulia dada, isijumuishe.Watatulia kaburini [emoji23]
Tofauti na hapo usijivunje kiuno madam. Hawatuliagi, na hawajui kutulia.
Olewa na mtu mwenye hofu ya Mungu.Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.
Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.
Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.
Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?
Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.
Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.
Ni mada nimeona niilete.
Asante ni.
Ni vile tu bado hujamfumania 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapo wanaotulia dada, isijumuishe.