haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie.
Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa wanawake, ukiona unacho maana yake waweza kitumia au umepewa uwezo huo, kuumbwa na uwezo wa kulia maana yake unaweza kutoa machozi yakikukuta.
We ukijikuta wataka kulia, jifungie chumbani lia weeee kisha jifute machozi endelea na mambo mengine.
Kitu kibaya kwa mwanaume ni kuendeshwa na hisia tu, ila kulia hakuna shida. Mi ukiniona mtaani nilivyo mtanashati na handsome huwezi amini kua kuna muda najifungia chumbani naliaaa, kisha nafanya maamuzi yasiobebwa na hisia.
Vijana lieni, toeni machozi.