Wanaume msiogope kulia, msibanie machozi

Wanaume hawapo wired au design kuprocess mambo ya kidunia kama wanawake.

Wanaume huwa wanatumia mantiki(logic) kwenye kuchakata fikra zao wanawake hutumia hisia. Kwa kifupi wanaume ni straight line equation wanawake sio straight liner.

Unachokifanya hapa ni kuandika maoni yako ambayo ni haki yako kikatiba na kijamii ila unakosea kudhania wanaume na wanawake wanafanana kwa 100%.

Mwanaume kulia it means ana operate kwa kutumia energy ya kike. Yaani mwanaume maisha yawe magumu, au apate msiba, au mtoto anaumwa, au mkewe ana msaliti au maswala yake ya kiuchumi yanakwenda kombo then aende ndani kujifungia alie? [emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli tunachangamoto kubwa sana ya malezi ya watoto wa kiume miaka hii aisee. Maana jamii inalazimisha wanawake kufikiria kama wanaume na kuwafanya wanaume kuwa na hisia kama za wanawake.

Kimsingi mwanaume hatakiwi kulia sio kwasababu hajisikii kulia, bali hatakiwi kulia kwasababu training za malezi ya kiume hazimruhusu kucompromise uwezo wake wa intelligence ya kiume katika kuprocess kimantikia namna ya kutatua changamoto.

Watoto wa kiume wa siku hizi wanaishi na mama zao tu na bibi zao, wanakuja kuchukuliwa kwenda shule na matron wa kike( hadi juzi serikali wamejadili bungeni hili swala),shuleni anapokelewa na walimu ambao wote ni wanawake, anashinda huko anarejea nyumbani. Program za television na radio ni "wanawake kwanza", "mwanamke wa shoka" "supa woman" haya yote yanawatoa kwenye reli ya kiume watoto wetu wa kiume kudhania maisha ni wanawake na sio jamii ya wanaume wanaoongoza wanawake.
 
Binadamu wote wana hisia ila kinachotofautisha apo ni namna ya kukabiliana na hisia kati ya mwanaume na mwanamke kutokana na utamaduni na desturi za jamii husika.
 
Hata ulie mpaka upasuke hakuna anayejali.Dawa ni kulia ndani kwa ndani.Ukiulizwa vipi ? Unajibu freesh tu.Ila ndani kwa ndani chamoto unakiona.
Unaanzaje kulia kwanza hisia za kulia zinatokea wapi? [emoji848]
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Tatizo wanawake wameanza kufundisha wanaume jinsi ya kuishi uanaume
Na hii ndio shida. Mwanamke kumwambia mwanaume namna ya kuwa mwanaume kamili wakati hakuna anachojua kuhusu uanaume. Picha linaanza ana pussy mwanaume ana dick, how can they see things in the same way or perspective? [emoji848]
 
Kweli kabisa, naona ni aibu kwa mwanaume kulia hadharani,lakini wengi wanajiua, wanapata sonona na wanajiua kwa kukosa mtu wa kuwashauri.
Sonona sio matokeo ya watu wasio lia. Sonona ni matokeo ya conflict kati ya akili yako at the present/current time na nafsi yako ambayo imenasa in the past moment au time.

Mfano, unaweza pata sonona kwasababu haukuwahi kumuona baba, mama yako so unawish ungekuwa umeishi nae hadi sasa.

Unaweza pata sonona kwasababu haukukubaliana na tukio la kudhalilishwa kijinsia utotoni so inakutesa hadi ukubwani unakuwa una struggle kukubaliana na lile tukio.

Kulia haibadilishi jambo lolote kwa mtu ambaye ni problem solver ila kulia ni dalili ya kuchanganyikiwa na kuwa mzembe wa kufikiria sawa sawa na ndio maana miaka ya nyuma haikuwahi kuonekana ni sifa ya kiume. Hata wanawake walipolia nyakati walizotakiwa kuwa imara walikemewa.
 
Binadamu wote wana hisia ila kinachotofautisha apo ni namna ya kukabiliana na hisia kati ya mwanaume na mwanamke kutokana na utamaduni na desturi za jamii husika.
Sidhani kama utakuwa umenipata vema. Wanaume hawaoperate kwa hisia na wakitumia mfumo wa hisia kuchakata taarifa matokeo huwa hovyo.

Wanaume wana fikra wanawake wana hisia. Ndio maana hata katika kujenga hoja mwanaume hutakiwa kusema "Mimi nafikiria kilichotokea kilisababishwa na moja mbili tatu" wakati mwanamke hutakiwa kusema "mimi na nahisi kilichotokea kilisababishwa na moja mbili tatu".

Men think, women feel, there's a big difference on that.
 
Sure bro.
 
Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie.

Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa wanawake, ukiona unacho maana yake waweza kitumia au umepewa uwezo huo, kuumbwa na uwezo wa kulia maana yake unaweza kutoa machozi yakikukuta.

We ukijikuta wataka kulia, jifungie chumbani lia weeee kisha jifute machozi endelea na mambo mengine.

Kitu kibaya kwa mwanaume ni kuendeshwa na hisia tu, ila kulia hakuna shida. Mi ukiniona mtaani nilivyo mtanashati na handsome huwezi amini kua kuna muda najifungia chumbani naliaaa, kisha nafanya maamuzi yasiobebwa na hisia.

Vijana lieni, toeni machozi.
Nimeishia hapo ulipo andika "Mi ukinuona mtaani nilivyo mtanashati na handsome lakini....."
 
Sonona sio matokeo ya watu wasio lia. Sonona ni matokeo ya conflict kati ya akili yako at the present/current time na nafsi yako ambayo imenasa in the past moment au time.

Mfano, unaweza pata sonona kwasababu haukuwahi kumuona baba, mama yako so unawish ungekuwa umeishi nae hadi sasa.

Unaweza pata sonona kwasababu haukukubaliana na tukio la kudhalilishwa kijinsia utotoni so inakutesa hadi ukubwani unakuwa una struggle kukubaliana na lile tukio.

Kulia haibadilishi jambo lolote kwa mtu ambaye ni problem solver ila kulia ni dalili ya kuchanganyikiwa na kuwa mzembe wa kufikiria sawa sawa na ndio maana miaka ya nyuma haikuwahi kuonekana ni sifa ya kiume. Hata wanawake walipolia nyakati walizotakiwa kuwa imara walikemewa.
Well elaborated.
 
Dah kulia inaniwiaga vigumu sana Ila Mara ya mwisho nilitoa chozi nilipokuwa naliacha gereza la Keko ,ile nilivyotoka tu getini hatua chache mbele nikageuka kulitizama lango ni hapo chozi la furaha na huzuni lilinishuka nikajikuta siwezi kuhimili huzuni na furaha ilikuwa inanikumba kwa wakati mmoja .

Ni afande Mroso ndiye alinipiga bega na kusema vunga Kaka mkubwa ,yamekwisha Ila safari nzima kutoka hapo Keko mpaka posta nilijikuta nalia tu ,nikawaliza na ndugu zangu hatukuweza hata kuzungumza Ila wote tulikuwa tunalia tu .

Ila kwasasa ni muda sijalia japo uwa nikilewa vizuri naonaga Kama machozi yananilenga lenga hasa ile Raha niipatayo Ila uwa najizuia kulia tu
 
Tangu uanze kulia je ni faida zipi na hasara zipi ulizopata maana unatuahauri kitu chako . Inabidi uje na maelezo fasaha na yenye mantiki siyo wewe kuingia kulia ndani hivyo unataka na wanaume wote wajifungie ndani na kulia
 
Dah kulia inaniwiaga vigumu sana Ila Mara ya mwisho nilitoa chozi nilipokuwa naliacha gereza la Keko ,ile nilivyotoka tu getini hatua chache mbele nikageuka kulitizama lango ni hapo chozi la furaha na huzuni lilinishuka nikajikuta siwezi kuhimili huzuni na furaha ilikuwa inanikumba kwa wakati mmoja .

Ni afande Mroso ndiye alinipiga bega na kusema vunga Kaka mkubwa ,yamekwisha Ila safari nzima kutoka hapo Keko mpaka posta nilijikuta nalia tu ,nikawaliza na ndugu zangu hatukuweza hata kuzungumza Ila wote tulikuwa tunalia tu .

Ila kwasasa ni muda sijalia japo uwa nikilewa vizuri naonaga Kama machozi yananilenga lenga hasa ile Raha niipatayo Ila uwa najizuia kulia tu
Pole sana mkuu, binafsi naomba sana yasinikute ya kufika kwenye hilo jengo.
 
Hapana, sitomshusha. Nitamfariji, na kama ninao uwezo wa kumsaidia basi nitamsaidia, maana hadi alie basi ujue lipo kubwa sana linalomsibu.
Nyie kwa maneno matamu tu hamjambo, sasa mwanaume unakiaje mbele ya mwanamke? Mahali pekee mwanaume unaweza kulia labda ukifiwa na mtu wa karibu. Tena sio unapiga kelele, simple tu vichozi vidogo af unakausha.
 
Kulia ni ibada let's tears water your future happiness
 
Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie.

Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa wanawake, ukiona unacho maana yake waweza kitumia au umepewa uwezo huo, kuumbwa na uwezo wa kulia maana yake unaweza kutoa machozi yakikukuta.

We ukijikuta wataka kulia, jifungie chumbani lia weeee kisha jifute machozi endelea na mambo mengine.

Kitu kibaya kwa mwanaume ni kuendeshwa na hisia tu, ila kulia hakuna shida. Mi ukiniona mtaani nilivyo mtanashati na handsome huwezi amini kua kuna muda najifungia chumbani naliaaa, kisha nafanya maamuzi yasiobebwa na hisia.

Vijana lieni, toeni machozi.
Mkuu just imagine tangu umalize chuo kikuu una miaka mitano hujapata ajira na maisha magumu utalia mara ngapi?
 
Kuna sisi ambao tukilia ni kwasababu ya hasira zilizopitiliza nasio kwasababu tunamuonea mtu huruma au kusikitishwa na kilichomkuta
 
Back
Top Bottom