Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Kunywa bia(pombe), ni kuwa na hela.Na hela si matako kwamba kila mtu anayo.
cc:wanywa soda mzingatie hilo.
Nawajua walevi kibao hawana hata hela na hua najiuliza wanalewaga na nini wakati kila siku familia zao zinalalamika hawazihudumii.

Au ndo wanaona bora wakanywee watoto wakose huduma nzuri?
 
Kunywa pombe sio utajiri na kutokunywa sio umasikini.

Mimi sinywi pombe ila nina uhakika 100% kwamba nakuzidi kila kitu, elimu, exposure, uwezo wa kifedha, nafasi, mali, akili na kila kitu.

So kunywa vibia vyako 2 vya mawazo haikufanyi uwe na hela kuliko ambae hanywi.

Wewe ukinyaa bia nyingi sana kwa siku haizidi 100k ambayo ni average ya 3m kwa mwezi.

Mimi naependa wanawake na sinywi pombe bajeti yangu ya wanawake kwa mwezi iko juu kuliko bajeti yako ya pombe.
 
Ijapokuwa kuna kaukweli somehow but lakini kwanini usianze na mashehe na wachungaji? Maana wao kila siku wanawasema maeneo yao ya kuwajibika lakini ninyi hamuwasemi mnapokuwa maeneo yenu ya kupata ulabu?

Ijapokuwa ni kweli wanywa soda wengi wana tabia hizo but usigeneralize wote ni baadhi tu!!
 
Mlevi anachoweza ni kukununulia pombe tu ukimwambia una njaa hawezi kukunnulia chakula, walevi wengi wakiskia mwenzao ameacha pombe wanamchukia na kuanza kumsengenya huku wakimuombea mabaya wanamuonea wivu kwakua mwenzao katoka kwenye utumwa.

Walevi wengi wanaongoza kwq kupenda kukopa na kukimbia kulipa, walevi walio fanikiwa wanaongoza kuwanywesha pombe walevi wasio na ramani lakin hawapo radhi kuwakopesha hat hela ya mtaji.
 
tulia dogo weka hapa screenshot ya kiasi ulichonacho kwa account yako then na mimi nikuqwekee mslete majungu hamna chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20210901_073423_935.jpg

Hiki hapa niko nacho nyumbani!!
 
Ijapokuwa kuna kaukweli somehow but lakini kwanini usianze na mashehe na wachungaji? Maana wao kila siku wanawasema maeneo yao ya kuwajibika lakini ninyi hamuwasemi mnapokuwa maeneo yenu ya kupata ulabu!!?
Ijapokuwa ni kweli wanywa soda wengi wana tabia hizo but usigeneralize wote ni baadhi tu!!
wanywa soda wanadharau sana na wanajiona special sana yaani wakiona mtu anakunywa wanamuona kama mjinga flani ivi na cha ajabu hawamzidi kitu chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanywa soda wanadharau sana na wanajiona special sana yaani wakiona mtu anakunywa wanamuona kama mjinga flani ivi na cha ajabu hawamzidi kitu chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio unywaji wenu bali ni kero zenu baada ya kunywa! Mnatukera hata bao hatunywi. Wanywaji wa pombe ni watu wa ovyo sana muda mwengine kwani wapo baadhi baada ya kunywa wanafanya vitendo vya kuwashushia heshima mbele ya jamii, vitendo ambavyo hata watoto hawawezi kufanya, ilhali nyie ni wazima. Just imagine mtu mzima unakunywa pombe hadi unajikojolea, na haitoshi wengine wanakunywa hadi wanajinyea mbali wanaopasuliwa yai baada ya kunywa pombe hadi kuangusha gari
 
Back
Top Bottom