Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatuzidi majungu.Je hakuna mnywa soda yoyote anayekuzidi kwa mpunga mkuu??
Nawajua walevi kibao hawana hata hela na hua najiuliza wanalewaga na nini wakati kila siku familia zao zinalalamika hawazihudumii.Kunywa bia(pombe), ni kuwa na hela.Na hela si matako kwamba kila mtu anayo.
cc:wanywa soda mzingatie hilo.
unachapa wehu na wanywa gongo kijna acha huwezi kuhimili ngumi ya mnywaji usidanganye watu huwa unachapa wehu na mataihira wanywa mbege hukoMimi ninachokumbuka, nimechapa sana walevi. Nilikuwa nawatandika sana bakora mpaka wanakimbia [emoji1787][emoji1787]
ndio mnavyojiamini maana mnaishi uswahilini mshazoeana na hao wehu wa huko buzzNawajua walevi kibao hawana hata hela na hua najiuliza wanalewaga na nini wakati kila siku familia zao zinalalamika hawazihudumii.
Au ndo wanaona bora wakanywee watoto wakose huduma nzuri?
sio tozo tu and we are goodwaambie tozo tunalipa miaka yote wala hatulalamiki..
Watu msiokunywa pombe mna ulevi wa mbunyeKunywa pombe sio utajiri na kutokunywa sio umasikini.
Mimi sinywi pombe ila nina uhakika 100% kwamba nakuzidi kila kitu, elimu, exposure, uwezo wa kifedha, nafasi, mali, akili na kila kitu...
tulia dogo weka hapa screenshot ya kiasi ulichonacho kwa account yako then na mimi nikuqwekee mslete majungu hamna chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
wanywa soda wanadharau sana na wanajiona special sana yaani wakiona mtu anakunywa wanamuona kama mjinga flani ivi na cha ajabu hawamzidi kitu chochoteIjapokuwa kuna kaukweli somehow but lakini kwanini usianze na mashehe na wachungaji? Maana wao kila siku wanawasema maeneo yao ya kuwajibika lakini ninyi hamuwasemi mnapokuwa maeneo yenu ya kupata ulabu!!?
Ijapokuwa ni kweli wanywa soda wengi wana tabia hizo but usigeneralize wote ni baadhi tu!!
mkuu ila unalijua hilo kuwa wanywa soda wanadharau sana?Kunywa pombe sio utajiri na kutokunywa sio umasikini.
Mimi sinywi pombe ila nina uhakika 100% kwamba nakuzidi kila kitu, elimu, exposure, uwezo wa kifedha, nafasi, mali, akili na kila kitu...
Tatizo sio unywaji wenu bali ni kero zenu baada ya kunywa! Mnatukera hata bao hatunywi. Wanywaji wa pombe ni watu wa ovyo sana muda mwengine kwani wapo baadhi baada ya kunywa wanafanya vitendo vya kuwashushia heshima mbele ya jamii, vitendo ambavyo hata watoto hawawezi kufanya, ilhali nyie ni wazima. Just imagine mtu mzima unakunywa pombe hadi unajikojolea, na haitoshi wengine wanakunywa hadi wanajinyea mbali wanaopasuliwa yai baada ya kunywa pombe hadi kuangusha gariwanywa soda wanadharau sana na wanajiona special sana yaani wakiona mtu anakunywa wanamuona kama mjinga flani ivi na cha ajabu hawamzidi kitu chochote
Sent using Jamii Forums mobile app