Wanaume mtujibu

Kwnn wanawake mnajipa nafasi kubwa ktk kuzaa?? Hilo ni jukumu na adhabu mliyopewa pale Eden ila kiuhalisia mwanaume ndie anaeishia kufanya kazi kubwa kuanzia kulea hadi kusomesha ila nyie mnabakia kusema mmezaa mmezaa
 

Attachments

  • pastor_david_mmbaga-20221026-0001.mp4
    850.1 KB
Honestly binafsi huwa naona wanawake wote ni kama viumbe fulani ambao kuna kitu wamekosa kuwa binadamu kamili. Yani huwa naona kama wanaupungufu fulani kiroho ambao siwezi kuuelezea
 
Sio wanawake wote wanaweza kuwa Mama. Jaribu kutofautisha kwanza mana naona unachaganya hapo!
 
Men get better with time, women lose value with time..ulisoma literature na Fasihi ukiwa sekondari?...The woman is depicted as a tool for sexual pleasure..!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sasa inategemea. Mkipendeza tunawaona warembo tunavutiwa kuwaomba gemu. Mkipika vizuri tunawaona wapishi tunapenda kula misosi yenu so tunapokuwa na njaa tunawawaza muda wote.

Mnapolea watoto wetu vizuri tunawaona mama wazuri kwaajiri ya kujenga nanyi familia zetu na kutulelea watoto.

Mnapoheshimu pesa na mali zetu tunawaona partners wazuri wa kushirikiana nanyi katika utafutaji maisha na mali.

Mnapokuwa mnapenda kupewa pesa kwa kigezo cha kuwa mnautamu mwilini na hamtoi bure bila pesa tunawaona takataka na kifaa cha kutumika kutoa hamu za kingono kwa kifupi hatuoni shida kuwatumia na kuwadump kama tissue maana hatuna kazi nyingine na mtu wa namna hiyo zaidi ya kumwagia mayonize na kupita hivi.

Mnapojiheshimu kwa kutokuwa na mahusiano nje yetu yaani kuwa waaminifu tunawaona kama malaika kutoka mbinguni na chanzo cha utulivu wa nafsi zetu na kichocheo cha Amani kila mnalosema linatuingia hadi moyoni sababu mnatuheshimisha katika jamii.

Mnapotujali kwa kutulinda, kutuombea, kuhofu pale msipotuona kwa muda fulani, mnapolilia tusiwaache na kusihi tusiwatenge na kutaka tuwe karibu yenu kwa gharama yoyote ile na mpo tayari kujitoa kwaajiri yetu kwa utii na kuachana na dunia yote ili mfuate maagizo yetu hapo ndipo huwa mnatumaliza kabisa maana mnakuwa kama mama zetu wamezaliwa upya ili kutulinda watoto wao.

Mnapotutunzia siri zetu,mnapojizuia kutusema vibaya kwa watu wengine,mnapotutetea tukiwa hatupo kwa watu wanaotusema vibaya,mnapokataa kutusengenya tunawaamini nakuwaona watu muhimu sana wa kuwaambia yale yanayotusibu katika ulimwengu huu na hata tukiwa na vitu vya kuficha basi mnapokuwa wasiri mnakuwa na nafasi kubwa ya kujua hivyo vitu.

Mnapokuwa na hasira na ghubu au wivu usiokuwa na sababu muda wote kama namna ya kutafuta attention kwetu tunawaona kama hamjakuwa na mnatakiwa mrudi kwa wazazi wenu wakawafundishe namna ya kuishi na mwanaume na kuongea nae na kuzungumza nae pale mnapokwazika badala ya kuvuta midomo na kuweka sura kama paka aliyenyimwa maziwa.


Mnapokuwa na kiherehere cha maisha, kupanga vitu bila kukaa na sisi kwanza, kuwa na mipango binafsi ya utafutaji wakati tunaishi pamoja, kuwa na ukaribu zaidi na ndugu zenu wa damu na marafiki na kupanga nao mikakati ya utafutaji wa maisha wakati unaishi na mwanaume wako na hajui lolote kuhusu hiyo mikakati, au kuamua kuanza kumiliki assets zako pekee yako kama njia ya kujihami endapo mahusiano yamekwenda kushoto inatupa tafsiri kuwa mnahasi na mnaamua kutuhujumu jitihada zetu kwaajiri ya manufaa yenu binafsi hivyo tunawaona wasaliti ma wezi wa mapenzi.


Kimsingi namna tunavyowaona ni matokeo ya namna mnachagua akili ya kuishi na mwanaume ndio maana ulipofeli na kujihakikishia hakuna mtu ataingia na kuishi unashangaa amekuja kuishi mwanamke mwenzio na ni mwaka wa sita sasa.
 
Msalimie sana mama sasha aiseeee.
 
Asante sana aisee...
 
Men get better with time, women lose value with time..ulisoma literature na Fasihi ukiwa sekondari?...The woman is depicted as a tool for sexual pleasure..!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Men get better with time, women lose value with time..ulisoma literature na Fasihi ukiwa sekondari?...The woman is depicted as a tool for sexual pleasure..!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ooo woow! Vizuri
 
Kwnn wanawake mnajipa nafasi kubwa ktk kuzaa?? Hilo ni jukumu na adhabu mliyopewa pale Eden ila kiuhalisia mwanaume ndie anaeishia kufanya kazi kubwa kuanzia kulea hadi kusomesha ila nyie mnabakia kusema mmezaa mmezaa
Oo kumbe ni adhabu...nilisahau
 
Honestly binafsi huwa naona wanawake wote ni kama viumbe fulani ambao kuna kitu wamekosa kuwa binadamu kamili. Yani huwa naona kama wanaupungufu fulani kiroho ambao siwezi kuuelezea
Ha haa,aisee....upungufu tena
 
Unapo mfananisha mwanaume ni kama nyumbu basi wewe ni nyumbu mara 10 ndio maana tunawatala,Nyalakuduku wewe, njoo uniue niko hapa Rock City
Ha ha haaa,mbavu zangu! Ngoja nije
 
Sawasawa.,...ngoja tuendelee kuikalia nchi
 
Dah! Me kwangu mimi nawaona wanawake kama viumbe visivyoeleweka maana hawapendi sisi tuwachukulie kama vyombo vya starehe ilihali wao hututengeneza tuwaone hivyo. Mwanamke hataki umuone malaya ila kashalalwa hadi kachakaa, Hataki umuone kahaba ila muonekano wake kiujumla kuanzia mavazi hadi akili ni za kikahaba, Anaweza akawa mlevi, malaya na asie mjua Mungu ila akataka aolewe na mwanaume mwenye hofu ya Mungu πŸ™Œ
 
Aisee,mstari wa mwisho nimeuelewa sana
 
Kuwa serious kidogo bas
Nipo serious sana.Sema weye ndiyo umekuwa mwepesi wa kucheka.Hata hivyo,tujitahidi kuyachukulia mambo kwa u-chanya zaidi.Maisha yatugonge.Fedha imekuwa fedheha,haipatikani.Jua linawaka balaa.Joto kama tupo safu ya milima ya Rocky.Basi,tujilazimishe hata kucheka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…