Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
- Thread starter
- #141
Ha ha haa,aisee....mi kwangu furaha kwanzaNipo serious sana.Sema weye ndiyo umekuwa mwepesi wa kucheka.Hata hivyo,tujitahidi kuyachukulia mambo kwa u-chanya zaidi.Maisha yatugonge.Fedha imekuwa fedheha,haipatikani.Jua linawaka balaa.Joto kama tupo safu ya milima ya Rocky.Basi,tujilazimishe hata kucheka tu.