Ha ha haa,aisee....mi kwangu furaha kwanzaNipo serious sana.Sema weye ndiyo umekuwa mwepesi wa kucheka.Hata hivyo,tujitahidi kuyachukulia mambo kwa u-chanya zaidi.Maisha yatugonge.Fedha imekuwa fedheha,haipatikani.Jua linawaka balaa.Joto kama tupo safu ya milima ya Rocky.Basi,tujilazimishe hata kucheka tu.
Basi na iwe hivyo.Long live and hooray,kwako!Ha ha haa,aisee....mi kwangu furaha kwanza
kwahiyo tunafanyaje sasa maana sio poaAisee,mstari wa mwisho nimeuelewa sana
Ndio hivo Hakuna kingne.Wee! Sema kweli?
Mafurushi kama mafurushi.π umewaongezea na jina....ni kweli wema wapo mom