Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

weeee km zoteeee jamani mue jamani na huruna hata ka ni stori si kwa simu jamaniii
Akimpa utasikia wanawake wa JF maharage ya Mbeya maji mara moja na akinyimwa atakuja kusemwa maneno yote. Wanawake wa JF wabaya sijui reject kisa tu umemnyima [emoji197]. Ndo mana wale wapuuzi wakiongea nawacheck nasema hiiiiiiiiiii hata wangenisema Mara 100000 sina k ya mchezo ya kuwapa wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi km 720 kweli unazijua?? Jehova jehova [emoji19][emoji19]inaweza kua umeongeza sifuri maana nyie wanawake kwakuongeza sifuri hamjambo... Izo km 720 tu atoke huko halaf eti akalale peke yake bila sababu na wewe ulale peke yako tu? Hii dhambi hautasamehewa popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Inshort wanataka kudo mapema sana.
Sijui hawaridhikagi
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] aseee ukilegea umeliwaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukiliwa unaitwa Malaya. Namshukuru bby wangu huku Ana heshima ndo anaenipa jeuri ya kuwacheka hawa wanaoweweseka na umalaya wangu. Maana kunila hawawezi wataishia kubabaika tu na kuita majina na vile nawajua ndo kabisaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akimpa utasikia wanawake wa JF maharage ya Mbeya maji mara moja na akinyimwa atakuja kusemwa maneno yote. Wanawake wa JF wabaya sijui reject kisa tu umemnyima [emoji197]. Ndo mana wale wapuuzi wakiongea nawacheck nasema hiiiiiiiiiii hata wangenisema Mara 100000 sina k ya mchezo ya kuwapa wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀 nadhani walipaswa kupangana kuliko kukerana ili mmoja akikiuka makubaliano afe na roho yake alafu hakuna mambo mazuri ka kuyaongea awali maana yeye kakereka na mgeni kakereka
 
Na ukiliwa unaitwa Malaya. Namshukuru bby wangu huku Ana heshima ndo anaenipa jeuri ya kuwacheka hawa wanaoweweseka na umalaya wangu. Maana kunila hawawezi wataishia kubabaika tu na kuita majina na vile nawajua ndo kabisaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mwenza kuna watu wanakuita malaya? Wamekukula wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukiliwa unaitwa Malaya. Namshukuru bby wangu huku Ana heshima ndo anaenipa jeuri ya kuwacheka hawa wanaoweweseka na umalaya wangu. Maana kunila hawawezi wataishia kubabaika tu na kuita majina na vile nawajua ndo kabisaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana .....waache Waite majina yote kama hayakuhusu wallah unanenepa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akimpa utasikia wanawake wa JF maharage ya Mbeya maji mara moja na akinyimwa atakuja kusemwa maneno yote. Wanawake wa JF wabaya sijui reject kisa tu umemnyima [emoji197]. Ndo mana wale wapuuzi wakiongea nawacheck nasema hiiiiiiiiiii hata wangenisema Mara 100000 sina k ya mchezo ya kuwapa wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh Mzigua90 sasa unaamuaje? Ukichelewesha kutoa papa unafunguliwa uzi ukiwah unaitwa maharagwe ya mbeya. Unaamuaje? Bora uitwe maharagwe ya mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom