Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akimpa utasikia wanawake wa JF maharage ya Mbeya maji mara moja na akinyimwa atakuja kusemwa maneno yote. Wanawake wa JF wabaya sijui reject kisa tu umemnyima [emoji197]. Ndo mana wale wapuuzi wakiongea nawacheck nasema hiiiiiiiiiii hata wangenisema Mara 100000 sina k ya mchezo ya kuwapa wao.weeee km zoteeee jamani mue jamani na huruna hata ka ni stori si kwa simu jamaniii
Inshort wanataka kudo mapema sana.Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukiliwa unaitwa Malaya. Namshukuru bby wangu huku Ana heshima ndo anaenipa jeuri ya kuwacheka hawa wanaoweweseka na umalaya wangu. Maana kunila hawawezi wataishia kubabaika tu na kuita majina na vile nawajua ndo kabisaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] aseee ukilegea umeliwaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtaji huo nakuunga mkono! Huyo mariooTangu tufahamiane hajawahi kunipa hata senti na wala sijawahi muomba,kaniomba kaja mwenyewe ,nimetumia gharama zangu kumhudumia,naenda kumchukulia chumba kwa gharama zangu anakataa,mmmmh hata kama
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀 nadhani walipaswa kupangana kuliko kukerana ili mmoja akikiuka makubaliano afe na roho yake alafu hakuna mambo mazuri ka kuyaongea awali maana yeye kakereka na mgeni kakerekaAkimpa utasikia wanawake wa JF maharage ya Mbeya maji mara moja na akinyimwa atakuja kusemwa maneno yote. Wanawake wa JF wabaya sijui reject kisa tu umemnyima [emoji197]. Ndo mana wale wapuuzi wakiongea nawacheck nasema hiiiiiiiiiii hata wangenisema Mara 100000 sina k ya mchezo ya kuwapa wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mwenza kuna watu wanakuita malaya? Wamekukula wao?Na ukiliwa unaitwa Malaya. Namshukuru bby wangu huku Ana heshima ndo anaenipa jeuri ya kuwacheka hawa wanaoweweseka na umalaya wangu. Maana kunila hawawezi wataishia kubabaika tu na kuita majina na vile nawajua ndo kabisaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam..Baada ya miezi sita ya kujuana nikiachia papuchi ndiyo naachia moja kwa moja mkuu.
Safi sana .....waache Waite majina yote kama hayakuhusu wallah unanenepa tuNa ukiliwa unaitwa Malaya. Namshukuru bby wangu huku Ana heshima ndo anaenipa jeuri ya kuwacheka hawa wanaoweweseka na umalaya wangu. Maana kunila hawawezi wataishia kubabaika tu na kuita majina na vile nawajua ndo kabisaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgeni angejiongeza dada hakumpenda.😀😀😀😀 nadhani walipaswa kupangana kuliko kukerana ili mmoja akikiuka makubaliano afe na roho yake alafu hakuna mambo mazuri ka kuyaongea awali maana yeye kakereka na mgeni kakereka
kikubwa mipaka na makubalianoNa ukiliwa unaitwa Malaya. Namshukuru bby wangu huku Ana heshima ndo anaenipa jeuri ya kuwacheka hawa wanaoweweseka na umalaya wangu. Maana kunila hawawezi wataishia kubabaika tu na kuita majina na vile nawajua ndo kabisaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenza acha tu. Halafu limtu hata huwazi kulipa hata hug ya juu juu. Limetongoza limekataliwa linaanza kuweweseka.
Eeeh hamna kutoa papuchi kabla ya miezi sita
haaa haa haaa mnavituko kweli pole yao lakini
Mmh Mzigua90 sasa unaamuaje? Ukichelewesha kutoa papa unafunguliwa uzi ukiwah unaitwa maharagwe ya mbeya. Unaamuaje? Bora uitwe maharagwe ya mbeyaAkimpa utasikia wanawake wa JF maharage ya Mbeya maji mara moja na akinyimwa atakuja kusemwa maneno yote. Wanawake wa JF wabaya sijui reject kisa tu umemnyima [emoji197]. Ndo mana wale wapuuzi wakiongea nawacheck nasema hiiiiiiiiiii hata wangenisema Mara 100000 sina k ya mchezo ya kuwapa wao.
Sent using Jamii Forums mobile app