Wanaume muoeni huyu dada

Sasa sisi humu unatulaumu bure walaumu anaofanya nao kazi ofisi huko "nyie wanaume inakuwaje huyu mdada hana boyfriend na nyinyi mmo humu?
 
Kama ni huyo anaeongelewa na hana hata boyfriend kwa umri ule basi ana matatizo si bure
 
Baada ya wewe kutafuta mpk umechoka umeona utumie gia ya mwenzako ili akipata siku ya harusi ujifanye moja ya maids ili wageni waalikwa wakuone. Si unajua tena wageni wengine watatoka nje ya nchi. Hongera una akili kubwa.
 
Ana asili ya wapi?
 
ulishaniona nikitafuta nikakosa? au unaongea tu unajua status yangu sasa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…