Wanaume muoeni huyu dada

Wanaume muoeni huyu dada

Sasa sisi humu unatulaumu bure walaumu anaofanya nao kazi ofisi huko "nyie wanaume inakuwaje huyu mdada hana boyfriend na nyinyi mmo humu?
 
Kama ni huyo anaeongelewa na hana hata boyfriend kwa umri ule basi ana matatizo si bure
 
Baada ya wewe kutafuta mpk umechoka umeona utumie gia ya mwenzako ili akipata siku ya harusi ujifanye moja ya maids ili wageni waalikwa wakuone. Si unajua tena wageni wengine watatoka nje ya nchi. Hongera una akili kubwa.
 
ni mtangazaji wa shirika moja la habari duniani.
wengi mnamfahamu sitaki kumtaja labda salim kikeke amtaje . that woman ni mzuri ,ana adabu na heshima ni mcha mungu ila hana hata boyfriend . msiniulize nimejuaje. i wish i could be a man ! nyie wanaume mnataka mwanamke wa aina gani jamani.ningekuwa na kaka ningemuozesha . nimewapa chimbo naombeni mrejesho
Ana asili ya wapi?
 
Baada ya wewe kutafuta mpk umechoka umeona utumie gia ya mwenzako ili akipata siku ya harusi ujifanye moja ya maids ili wageni waalikwa wakuone. Si unajua tena wageni wengine watatoka nje ya nchi. Hongera una akili kubwa.
ulishaniona nikitafuta nikakosa? au unaongea tu unajua status yangu sasa hivi?
 
Back
Top Bottom