Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio njoo upate mkeMiss Natafuta umekuwa wakala siku hizi?
Hahaha umenichekesha sanaYuko wapi sasa? Uzuri wa mke mama ni tabia wala siyo sura! Si unaona hata wewe wanakupita tu pamoja na bunyanga lako?
[emoji3] [emoji3] picha imekuchanganya e... Nafanana na nyani mwenzio. Ha ha🙄🙄muangalie kwanza, halafu kama hiyo picha ni yako nakuomba inbobo
Duuh hii fursahajaolewa mkuu hana hata mpenzi
hapendi zinaa anapenda mcha munguAna sifa nzuri sana,umewahi kujiuliza kwa nini hana boyfriend?
Unaweza ukajikuta unaingia kwenye tanuru la moto
nikuunganishe?Duuh hii fursa
Ntamftie moja matata sana udongo wa maka mixer na kisiju kwa mbaliiiiindio njoo upate mke
Mkuu natafuta huyu mama nilishamwanzishia uzi ukafutwa. Kwa umri wake ni zaidi ya dada kwangu ila nilitokea kumpenda saana. I wish kama angekuwa wa age yangu.ni mtangazaji wa shirika moja la habari duniani.
wengi mnamfahamu sitaki kumtaja labda salim kikeke amtaje . that woman ni mzuri ,ana adabu na heshima ni mcha mungu ila hana hata boyfriend . msiniulize nimejuaje. i wish i could be a man ! nyie wanaume mnataka mwanamke wa aina gani jamani.ningekuwa na kaka ningemuozesha . nimewapa chimbo naombeni mrejesho
kwani kumjua mtu hana mpenzi inahitaji phd?Huyo dada muuza wenzake ama... Amejuaje kama huyo dada hana mtu
Fanya hivyo, au ndio ww mwenyewe Zuhranikuunganishe?
Umeambiwa vidole vyake vimechoka kumpapasa?nikuunganishe?
Sasa ataolewa saa ngapi wakati anashinda studio, mwambie aje mtaani, fasta hamalizi wiki 2 ubani unachomwa.😀hajaolewa mkuu hana hata mpenzi
pole dabyMkuu natafuta huyu mama nilishamwanzishia uzi ukafutwa. Kwa umri wake ni zaidi ya dada kwangu ila nilitokea kumpenda saana. I wish kama angekuwa wa age yangu.
Anaongea fulani tamu, uso analipa hakopeshi pia kwa Muonekano anaheshima nastaha. I love her. Umri tatizo.