Wanaume muoeni huyu dada

Wanaume muoeni huyu dada

wanaume wa siku hizi mnapenda kusex bila ndoa . hakuna anetaka kuwa kwenye mahusiano bila sex shida hapo ndo inapotokea ukimnyima papuchi anakimbia

Si kweli. Wengi hatuna hiyo tabia ila wanawake ndo wanalazimisha sana mapenzi eti ili isijekua wameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Kuhusu huyo dada kuna hili. Maadam ye mcha Mungu alipaswa kua ameshapata mtu wa kufanana nae. Kwanini hapati?
 
Si kweli. Wengi hatuna hiyo tabia ila wanawake ndo wanalazimisha sana mapenzi eti ili isijekua wameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Kuhusu huyo dada kuna hili. Maadam ye mcha Mungu alipaswa kua ameshapata mtu wa kufanana nae. Kwanini hapati?
mambo mengi,mazingira anayoishi ,tamaduni zao,kutojichanganya nadhani unaelewa ,pia wanaume kumuogopa
 
Yuko wapi sasa? Uzuri wa mke mama ni tabia wala siyo sura! Si unaona hata wewe wanakupita tu pamoja na bunyanga lako?
Umejuaje mkuu.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yule jaji was bongo stat search kaolewa?.... Achana na Madam Rita... Nasema yule mtangazaji wa Luninga
 
mi sijamtaja mtu bna ila muoeni huyu dada jamani




kazi yako nikukaa nakuangalia watu walioolewa na ambao hawajaolewa

punguza mawazo utakuja kuolewa tuu usijali


haina haja yakufanya utafiti na kujilinganisha Mungu atakusaidia utapata tu
 
Mtaacha lini kufuatilia mambo ya watu..! Sio kila mtu amekuja duniani kuto****mba****na. Wengine tumeletwa kwa special purpose.
 
Ni mtangazaji wa shirika moja la habari duniani.

Wengi mnamfahamu sitaki kumtaja labda Salim Kikeke amtaje. That woman ni mzuri, ana adabu na heshima ni mchamungu ila hana hata boyfriend.

Msiniulize nimejuaje, I wish I could be a man! Nyie wanaume mnataka mwanamke wa aina gani jamani? ningekuwa na kaka ningemuozesha .

Nimewapa chimbo naombeni mrejesho..

Ndiyo maana wanawake mnadharauliwa mpaka basi!!
 
Nyani wa mbele amuoni wa nyuma.

Kama siko sahihi mnirekebishe lakini ifanane na hii ya Nyani kutokuona kitu.
 
Back
Top Bottom