Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Teh ndo dawa ya vitombi
Maajabu kwakweli, ujivunjie heshima alafu ulalamikie kutokuheshimiwa kweli!!! Tena hao wehu wanaoleta watoto waongezeke tu kwakweli.
Ndaga fijoMtu katia mimba alafu hataki kutunza mwanae eti kisa ndoa. Hiyo ndoa ingekua muhimu asingecheza nje peku peku!
Atleast asingeacha traces!