Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
yeah ni kweli!! hope uliona wale akina mama walioenda kwa makonda na malalamiko yaoLakini usipotoa anaeteseka ni mwanao mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah ni kweli!! hope uliona wale akina mama walioenda kwa makonda na malalamiko yaoLakini usipotoa anaeteseka ni mwanao mkuu.
😀😀😀Usisahau wengine tunawatoa Badoo unalipa hela yako unasepa kumbe umeacha kiumbe hapo! Je, ni halali kumlete kwako umlee wakati mlimalizana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaaa... Kwani zile zenu si zinaitwa mbegu au?
😀😀😀😀 Dah! Huo msala aisee, yaani utajiuliza huyo mwanamke anakupenda? Amakuchukia? Anawivu? Au kitugani sijui! Maana akishakuvunjia ndoa yeye ndio ataingia?Maana yake ni kwamba alishakua tayari kwenda kuvunja ndoa ya yule baba mtoto bila kujali mwenzie ana mke. Pata picha huyo baba alimficha mkewe kuhusu kuzaa nje halafu ghafla anakuja kutupiwa kichanga cha miezi mine akilee na mkewe.
Kutunza wake wengi hawawezi na bado wanataka kula mbichi wanawake wengineHivi kwanini watu wanaogopa kuwa na wake wengi kihalali ili kuepusha hizi aibu?
Mimi nikitaka mke mwingine yanini nijifiche kama kweli nimeamua?
Oa hata watatu kabisa na waambie asiyetaka aondoke zake, kama huwezi kujizuia na kuishi na mke mmoja kwanini ujifiche na kuzaa nje huko baadae ulete ugomvi tu usiokuwa na maana kwenye familia yako?
Mimba ikiingia si inabidi tusaidiane mawazo ya nini cha kufanya jamani hata kama ulitegeshewa?Nyie wanawake ndo muache kujishikisha mimba mkidhan tutawaoa. Mtu unamchukua kama spare tyre yeye anataka awe tairi hasa hasa...ndo tunawatelekeza mnaanza kutusumbua pesa za matumiz na huku sisi tuna wake zetu
Wala hana mpango wa kuingia basi tu akukomeshe na huyo unaemfanya unampotezea yeye😀😀😀😀 Dah! Huo msala aisee, yaani utajiuliza huyo mwanamke anakupenda? Amakuchukia? Anawivu? Au kitugani sijui! Maana akishakuvunjia ndoa yeye ndio ataingia?
Kama huwezi tunza wake wengi dhibiti shawaha zako, kwanini upende vizur wakati huna uwezo wa kuvinunua?Kutunza wake wengi hawawezi na bado wanataka kula mbichi wanawake wengine
😀😀😀Wala hana mpango wa kuingia basi tu akukomeshe na huyo unaemfanya unampotezea yeye