Wanaume Muwe Mnaangalia na Wanawake wa Kuwaachia Mbegu Zenu.

Wanaume Muwe Mnaangalia na Wanawake wa Kuwaachia Mbegu Zenu.

Umesahau damu yako lakini. Ustaarabu ni akutafute mmalizane huku nje
Tatizo lenu ni kwenda na wakati! Well Mimi napenda watoto na hata mtu yeyote akiniletea nafurahi ila tusigeneralise na kutegeana! Kuna matangazo mengi JF wanaotafuta sperm donor ukizaa huyo wako
 
Wanawake wa namna hiyo ni wabaya sana.ziko hekima za kutumia na siyo kumfata mtu nyumbani kwa lengo la kumvurugia wakati anabeba ujauzito hakubakwa.raha zote alizisikia na kuamua toka moyoni mwake...wanawake hao nimewahi kukutana na wa namna hiyo aisee mnaweza chukua maamuzi ya ajabu usipotumia hekima.hawafai hao


Raha alipata na hela alipewa wakamalizana
 
Juzi kuna shosti yangu limemkuta jambo. NYUMBA aliyokua anakaa alishawahi kuishi mwanaume Fulani na familia yake. Sasa siku ya tukio wakati yuko ndani akasikia MTU anagonga geti lake kwa nguvu sana. Kwenda kufungua anakutana na mwanamke yuko na kitoto kichanga cha kama miezi minne.
Ile anafungua tu yule mwanamke akamwambia yani ilibaki dakika moja nikuachie huyu mtoto hapa nje ya geti niondoke zangu. Ikabidi shosti aulize kwani mbona sielewi. Akamwambia huelewi nini. Niitie mumeo Nina maongezi nae. Nae akazidi kushangaa maana ile NYUMBA anaishi mwenyewe na Mara chache hata mwanae anakuwepo. Mwanaume aliezaa nae hawana mahusiano ya kusema anaweza kuwa kama mume au boyfriend wake.
Sasa akawa anamtuliza anamwambia Dada utakuta umekosea NYUMBA. Anakazana kabisa ni hapa hapa kwa Jose. Wewe si ndo mke wa Jose? Sasa mumeo kanizalisha matumizi haleti nimeamua kuwaletea mtoto mumlee. Sasa like zogo likawavuta watu ndo kumtuliza yule Dada kuongea nae yule Dada ndo kugundua alipoenda sipo kwa muhusika.
Maana yake ni kwamba alishakua tayari kwenda kuvunja ndoa ya yule baba mtoto bila kujali mwenzie ana mke. Pata picha huyo baba alimficha mkewe kuhusu kuzaa nje halafu ghafla anakuja kutupiwa kichanga cha miezi mine akilee na mkewe.
Kawaida sana, si bora hajaamua kukaua hako kamalaika.
 
Tatizo lenu ni kwenda na wakati! Well Mimi napenda watoto na hata mtu yeyote akiniletea nafurahi ila tusigeneralise na kutegeana! Kuna matangazo mengi JF wanaotafuta sperm donor ukizaa huyo wako
Mara nyingi wa kutegeana ndo wanakuaga na hizo drama
 
Tatizo wakati wa kumwaga mbegu huwa shida kumwagia nje ule utamu lazima utazaa hata na mwendawazimu. Wanawake nao ukiona jamaa anataka kumwaga mbegu si unampushi akojolee nje we unajua mme wa mtu bado unataka akuzalishe tu
Unadhani kumpush MTU ni kazi nyepesi!??
 
Huyo shosti yako angekuwa na mume pasingekalika hata angejitetea namna gani asingeeleweka.

Wanawake wengine balaa unawezaje kutupa mtoto wako getini kwa mwanamke mwingine kisa hakuna malezi. Aise napambana na mwanangu hadi kieleweke ole wake huko baadae
 
Back
Top Bottom