Wanaume Muwe Mnaangalia na Wanawake wa Kuwaachia Mbegu Zenu.

Teh ndo dawa ya vitombi
Maajabu kwakweli, ujivunjie heshima alafu ulalamikie kutokuheshimiwa kweli!!! Tena hao wehu wanaoleta watoto waongezeke tu kwakweli.
Mtu katia mimba alafu hataki kutunza mwanae eti kisa ndoa. Hiyo ndoa ingekua muhimu asingecheza nje peku peku!

Atleast asingeacha traces!
Ndaga fijo
 
Eeh baada ya miaka waanze kujitokeza "namtafuta baba yangu anaitwa fulani nimeambiwa alikuwaga 123". Au baba akitangulia basi wataletwa kwenye msiba
Hahahaaaa!! Na mtoto akipatikana na awe siri milele mke asijue. Bora watoto wajulikane tu maana wao ndo victims wa upuuzi wa wazazi wao.
 
Huwa mnajisahau sana tatizo.
ni kiburi tu, sasa ukikutana na baby mamas kama hawa, akili inachangamka kidogo. Unagundua kumbe huyu si wakuburuza...

Like the previous place i was at, kulikuwa na apartment block. Sasa in one of the apartment kuna mkaka kafanya yake, anadunda tu na mdada mwingine, baby mama na mtoto hana mpango nao. Siku baby mama kaja usiku wacha aanze kulia nje, alisema kila kitu. Mara sijui mpaka mtoto anaumwa hadi kulazwa lakini jamaa hana time wala nini. Watu wanajaribu kubembeleza na kumnyamazisha, lakini wapi. Majirani wote mnasikia kila kinachoendelea from A to Z, hadi huruma. I could understand her frustration, mtu unahangaika na mtoto, halafu mzazi mwenzako wala hajali.

Haikupita wiki yule bro ikabidi ahame, maana sio kwa aibu ile.
 
Wawaleteage hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…