Wanaume Muwe Mnaangalia na Wanawake wa Kuwaachia Mbegu Zenu.

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Juzi kuna shosti yangu limemkuta jambo. NYUMBA aliyokua anakaa alishawahi kuishi mwanaume Fulani na familia yake. Sasa siku ya tukio wakati yuko ndani akasikia MTU anagonga geti lake kwa nguvu sana. Kwenda kufungua anakutana na mwanamke yuko na kitoto kichanga cha kama miezi minne.
Ile anafungua tu yule mwanamke akamwambia yani ilibaki dakika moja nikuachie huyu mtoto hapa nje ya geti niondoke zangu. Ikabidi shosti aulize kwani mbona sielewi. Akamwambia huelewi nini. Niitie mumeo Nina maongezi nae. Nae akazidi kushangaa maana ile NYUMBA anaishi mwenyewe na Mara chache hata mwanae anakuwepo. Mwanaume aliezaa nae hawana mahusiano ya kusema anaweza kuwa kama mume au boyfriend wake.
Sasa akawa anamtuliza anamwambia Dada utakuta umekosea NYUMBA. Anakazana kabisa ni hapa hapa kwa Jose. Wewe si ndo mke wa Jose? Sasa mumeo kanizalisha matumizi haleti nimeamua kuwaletea mtoto mumlee. Sasa like zogo likawavuta watu ndo kumtuliza yule Dada kuongea nae yule Dada ndo kugundua alipoenda sipo kwa muhusika.
Maana yake ni kwamba alishakua tayari kwenda kuvunja ndoa ya yule baba mtoto bila kujali mwenzie ana mke. Pata picha huyo baba alimficha mkewe kuhusu kuzaa nje halafu ghafla anakuja kutupiwa kichanga cha miezi mine akilee na mkewe.
 
ndio maana mie huwa namlala mwanamke mwenye vigezo vya kubeba damu yangu
 
Wanawake wa namna hiyo ni wabaya sana.ziko hekima za kutumia na siyo kumfata mtu nyumbani kwa lengo la kumvurugia wakati anabeba ujauzito hakubakwa.raha zote alizisikia na kuamua toka moyoni mwake...wanawake hao nimewahi kukutana na wa namna hiyo aisee.. unaweza chukua maamuzi ya ajabu usipotumia hekima.hawafai hao ni washenzi sana.
 
akamwambia yani ilibaki dakika moja nikuachie huyu mtoto hapa nje ya geti niondoke zangu.
huo ulikuwa ni mkwara tu, ingawa i agree kuna some crazy ass baby mamas... Sometimes ni sisi wenyewe kutokana na matendo yetu we make these ladies act crazily, so the only option they are left with ni ku-act over the top to get our attention
 
Usisahau wengine tunawatoa Badoo unalipa hela yako unasepa kumbe umeacha kiumbe hapo! Je, ni halali kumlete kwako umlee wakati mlimalizana?
 
Juzi kuna shosti yangu limemkuta jambo. NYUMBA aliyokua anakaa alishawahi kuishi mwanaume Fulani na familia yake. Sasa siku ya tukio wakati yuko ndani akasikia MTU anagonga geti lake kwa nguvu sana. Kwenda kufungua anakutana na mwanamke yuko na kitoto kichanga cha kama miezi minne.
Ile anafungua tu yule mwanamke akamwambia yani ilibaki dakika moja nikuachie huyu mtoto hapa nje ya geti niondoke zangu. Ikabidi shosti aulize kwani mbona sielewi. Akamwambia huelewi nini. Niitie mumeo Nina maongezi nae. Nae akazidi kushangaa maana ile NYUMBA anaishi mwenyewe na Mara chache hata mwanae anakuwepo. Mwanaume aliezaa nae hawana mahusiano ya kusema anaweza kuwa kama mume au boyfriend wake.
Sasa akawa anamtuliza anamwambia Dada utakuta umekosea NYUMBA. Anakazana kabisa ni hapa hapa kwa Jose. Wewe si ndo mke wa Jose? Sasa mumeo kanizalisha matumizi haleti nimeamua kuwaletea mtoto mumlee. Sasa like zogo likawavuta watu ndo kumtuliza yule Dada kuongea nae yule Dada ndo kugundua alipoenda sipo kwa muhusika.
Maana yake ni kwamba alishakua tayari kwenda kuvunja ndoa ya yule baba mtoto bila kujali mwenzie ana mke. Pata picha huyo baba alimficha mkewe kuhusu kuzaa nje halafu ghafla anakuja kutupiwa kichanga cha miezi mine akilee na mkewe.
Tatizo wakati wa kumwaga mbegu huwa shida kumwagia nje ule utamu lazima utazaa hata na mwendawazimu. Wanawake nao ukiona jamaa anataka kumwaga mbegu si unampushi akojolee nje we unajua mme wa mtu bado unataka akuzalishe tu
 
Usisahau wengine tunawatoa Badoo unalipa hela yako unasepa kumbe umeacha kiumbe hapo! Je, ni halali kumlete kwako umlee wakati mlimalizana?

Kwahiyo kisa "mlimalizana", basi ndo hata mtoto huusiki nae. What kind of nonsense is this.
 
Wanawake wa namna hiyo ni wabaya sana.ziko hekima za kutumia na siyo kumfata mtu nyumbani kwa lengo la kumvurugia wakati anabeba ujauzito hakubakwa.raha zote alizisikia na kuamua toka moyoni mwake...wanawake hao nimewahi kukutana na wa namna hiyo aisee mnaweza chukua maamuzi ya ajabu usipotumia hekima.hawafai hao
Mimi mwanamke mwenzie na single mom kama yeye siwezi kupata hata ujasiri wa kuongea na gf wa baby daddy wangu japo hatuna matatizo na anajua lakini hata baby daddy asipotuma hela siwezi mtafuta kuanza kumwambia mwambie aletw hela ya mtoto.
Kuna wanawake wanawatumiaga watoto kama fimbo ya kuchapia baba zao
 
huo ulikuwa ni mkwara tu, ingawa i agree kuna some crazy ass baby mamas... Sometimes ni sisi wenyewe kutokana na matendo yetu we make these ladies act crazily, so the only option they are left with ni ku-act over the top to get our attention
Huyo ni chizi kabisa. Yani mi nikamsumbue mwanangu na mausifiri na jua kisa baba ake anazingua? Hata mwanaume azingue vipi siwezi muweka mwanangu kwenye nafasi ya kumtumia yeye kwa baba ake
 
Usisahau wengine tunawatoa Badoo unalipa hela yako unasepa kumbe umeacha kiumbe hapo! Je, ni halali kumlete kwako umlee wakati mlimalizana?
Umesahau damu yako lakini. Ustaarabu ni akutafute mmalizane huku nje
 
Kuna wengine majinuni akili fupi kama mkia wa mbuzi wanakwenda hadi ofisini kushtaki.
 
Nimejaribu kuwaza kama huyo shosti ako angekuwa na mumewe hapo hali sijui ingekuwaje.

[emoji117][emoji117][emoji117]ila huyo bidada kama katelekezwa hivi,pole yake.
Shida hawa wenzetu wanaongozwa na mzee abdala,haya mengine sijui kama huwa wanawaza vizuri
 
Tatizo wakati wa kumwaga mbegu huwa shida kumwagia nje ule utamu lazima utazaa hata na mwendawazimu. Wanawake nao ukiona jamaa anataka kumwaga mbegu si unampushi akojolee nje we unajua mme wa mtu bado unataka akuzalishe tu
We ukipushiwa utakubali? Sasa ukute ndo wakato mnamwaga wote atakupush SAA ngapi?
 
Huyo ni chizi kabisa. Yani mi nikamsumbue mwanangu na mausifiri na jua kisa baba ake anazingua? Hata mwanaume azingue vipi siwezi muweka mwanangu kwenye nafasi ya kumtumia yeye kwa baba ake
Yes, YOU might not do that. Ila not everyone is as rational pale anapokuwa emotional
 
Back
Top Bottom