Wanaume mwenye akili timamu hawezi kutembea na mke wa mtu

Wanaume mwenye akili timamu hawezi kutembea na mke wa mtu

Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.
 Wizi
 Utapeli
Wake za watu


Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa.
Me siwezi ata kuwa karibu na mke wa mtu wake wa marafiki zangu Sina ata ukaribu nao.

Kuna wanaume wengine ni vichaa kabisa,Wana endeshwa na ngono wanajua kabisa huyu mke wa mtu afu anaenda kulala ukouko.kweri ndo Mana matukio ya mauaji yanaongezeka Sana kwenye mapenzi.

Juzi wakati nipo lodge hapa Songea,mida ya jioni Giza lishaingia Kuna mwanamke amechanganyikiwa kisa amechelewa kutoka na anapo ishi ni mbali na pale,akawa anaropoka sijui mume wangu atanifanya Nini.sijui kilimkuta Nini alipofika kwake unaweza kuta saizi ni marehemu washauana uko.

Vijana Wana haki ya kukataa ndoa wanaona jinsi wake za watu wanavyoliwa uko mitaani.

Tusilaumu wanaume mkuu kuna wake za watu wengine kichefu chefu wao ndiyo wanashoboka kwa wanaume.
 
Mimi nishatembea na mke wa mtu Mara Moja ila huwa najutia Sana hicho kitendo.
Aisee sitokaa nirudie Tena kuzini na mke wa mwenzangu.
Kuna mke wa mtu halaf kuna mkr wa mwenzako...wew unazungumzia yupi??

Mimi ukijilengesha nikajaribu halaf ukaelekea kibra wallah sikuachiiiiii
 
Back
Top Bottom