Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Jan 8, 2021 #181 Mgiriki Jr VI said: Niko fresh kabisa Mkuu Sasa chips na kabich kipi kinaharibu mfumo??? Click to expand... Bora kabichi mara elfu inasaidia hata kusafisha utumbo mpana. Chipsi is a slow poison
Mgiriki Jr VI said: Niko fresh kabisa Mkuu Sasa chips na kabich kipi kinaharibu mfumo??? Click to expand... Bora kabichi mara elfu inasaidia hata kusafisha utumbo mpana. Chipsi is a slow poison
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 6,346 Reaction score 14,546 Jan 8, 2021 #182 Utingo said: Bora kabichi mara elfu inasaidia hata kusafisha utumbo mpana. Chipsi is a slow poison Click to expand... Kwel kabisa Mkuu
Utingo said: Bora kabichi mara elfu inasaidia hata kusafisha utumbo mpana. Chipsi is a slow poison Click to expand... Kwel kabisa Mkuu
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 3,781 Reaction score 12,091 Feb 4, 2021 #183 Kuna ka mwanamama kalinipikia makabichi yake niliyala kukaridhisha tu.Utopolo mtupu ,siyapendi hayana ladha halafu yananuka.
Kuna ka mwanamama kalinipikia makabichi yake niliyala kukaridhisha tu.Utopolo mtupu ,siyapendi hayana ladha halafu yananuka.