Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Hata mimi sipendi, ikitokea nimekula nakula basi tu. Sipendi kabichi, sipendi mlenda, sipendi pilau, ikitokea nimekula nakula basi tu ila siyo kitu nachopenda
Ha ha hah mlenda daah
 
Umenikumbusha, wiki hii lazima nimtembelee mama yangu mzazi,akanipikie wali kabichi, yeye ndio kanifanya nipende kabichi, wali kabichi ni mtamu saana.

Kabichi umpate mpishi mzuri, ni tamu haina mfano,
Kiporo cha wali kabichi na mikate ilikuwa moja kati ya collabo bora zaidi kwa asubuhi.
Mama ni mama mtembelee kabla mwaka haujaisha.
 
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi?

Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni.

Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi,
Mwingine anaita
Minyoo hiyo Mimi silagi.

Mwingine Nani ale mizizi hiyo?


Oooh sijawa ng'ombe hiyo kabichi usirudie kunitengea.

Huyu ndo balaa eti me yf akipika kabichi nikiikuta tu hadi sufuria alilopikia nalitupa,,, sipendi ujingaujinga.

Nimestaajabu sana kwa nini wanaume hampendi mboga ya kabichi?
Iliwafanya nini au INA nini kwenu?
Wanaume kama mabinti hao.
 
Niwaambie tuu kwa wale wenye kusumbuliwa na magonjwa ya kisukari na pressure hakikisha nusu ya mlo wako kila siku ni cabbage na mboga mboga za kusteam uone kama hutopata nafuu
 
Mboga nzuri sana, ina antioxidant za kutosha...
Ila sielewi wazungu wanatumia neno cabbage kama wanahisi waongea pumba?!
 
Back
Top Bottom