Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Kabichi utumbo na wali..... hii combo ni 🔥
Kabichi nalitembeza aidha liwe limekatwakatwa na kutumika kwenye kachumbari au limekaangwa tu na viungo kama kitunguu, hoho na karoti bila nyanya.

Wasiopenda kabichi wana lao jambo.
hiyo ya kabichi ya kukaanga na kitunguu,hoho na karoti naikubali sana,ila huwa naongeza na tangawizi
 
mkuu mbona mimi wa mkoani lakini huo ugali ndio kipimo changu na nashiba sana, ugali mkubwa zaidi ya hapo simalizi
Mkuu....
Ebu wakati mwingine muachage masihara kwenye mambo ya msingi...[emoji53][emoji53]
JamiiForums-1358898913.jpg
 
Kweli kabeji siyo kabisa... tena ikipikwa haina mvuto kabisa bora kwenye kachumbari... hata mm tangu utotoni nilishaikataa
 
Back
Top Bottom