Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Watu wa Dar hamuishiwi visa...

Mimi naweza kaa na kabich nzima nikaila bila kupikwa na napenda kinoma...
We hata buchani si unaweza ukamwambia muuza bucha hebu niinje nyama kwanza km ni Nzuri ndo ninunue
 
Kabichi hata nikila baada ya miezi 6 simalizi ugali wa siku hiyo!

Umeuliza kwanini? Ni mboga flani imekaakaa tu..sisi hatupendi shida wakati wa msosi..inasumbua kula
 
Kabichi likishatengenezwa kwa ajili ya kuliwa linakuwa lonyo lonyo halafu laini! Ukianza kula tu, minyoo tumboni inaanza kushangilia kwa sababu inajua umeipelekea mademu.
 
Kh
Kabichi likishatengenezwa kwa ajili ya kuliwa linakuwa lonyo lonyo halafu laini! Ukianza kula tu, minyoo tumboni inaanza kushangilia kwa sababu inajua umeipelekea mademu.
Aaa
 
Umenikumbusha, wiki hii lazima nimtembelee mama yangu mzazi,akanipikie wali kabichi, yeye ndio kanifanya nipende kabichi, wali kabichi ni mtamu saana.

Kabichi umpate mpishi mzuri, ni tamu haina mfano,
Kiporo cha wali kabichi na mikate ilikuwa moja kati ya collabo bora zaidi kwa asubuhi.
 
Kwahiyo umekosa kabisa neno la kutumia unapoongelea hayo majani mpaka ukatumia neno "mboga"?
 
Back
Top Bottom