Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Halafu ajabu ni kwamba kipindi niko primary, secondary nilikuwa mpenzi sana wa kabichi sana yani, sijui ilikuaje nikaanza ichukia. Watu wanapenda biriani mimi hapana sijawahi kula biriani likanibariki. Pilau nakula tu kama kula ila si kitu napenda. Mrenda ndo kabisa sipendi.
Kwahiyo wewe ni nafaka tuu kwa kwenda mbele???
 
Wanawake wengi wanahisi kuweka miviungo mingi na mafuta ndo kujua kupika.

Kabisa yaani wangejua kwamba hatuyapendi ma spices kibao kwenye vyakula wasingefanya!! Mimi mivyakula yenye mifuta na spices siyapendi....Mimi weka nazi+chumvi basi lakini kuweka sijui miihiriki,sijui mipilipili manga,mara mi binzari mara miroyco,mara wamemix micurry podwer ,mara sijui nini masala siipendi.
 
Kwahiyo wewe ni nafaka tuu kwa kwenda mbele???
Hapana, nakula hata hivyo nisivyopenda nakula sichagui, ila wakati naishi peke yangu nilikuwa siwezi kula vitu hivyo. Ila nakula mihogo, ndizi, ugali (japo uambatane na nyama choma ndo unanoga), makande, viazi, n.k. ikiwemo fast foods, ila technically nakula hata nisivyopenda uzuri uwa zina kinyaa, ndiyo maana hata nyama ya mamba nakula
 
Kabisa yaani wangejua kwamba hatuyapendi ma spices kibao kwenye vyakula wasingefanya!! Mimi mivyakula yenye mifuta na spices siyapendi....Mimi weka nazi+chumvi basi lakini kuweka sijui miihiriki,sijui mipilipili manga,mara mi binzari mara miroyco,mara wamemix micurry podwer ,mara sijui nini masala siipendi.
Unakula hata hupati taste ya unachokula, yani haieleweki unakula kitu gani hadi unaweza kuuliza hivi haya ni maharage kweli 😅
 
Yaan mtazamo wa Wageni watatu wa Kiume Nyumban kwangu ndio wa Wanaume wote?
 
Mboga za majani ninazokula bila kulalamika ni mchicha, kabichi na matembele.

Nyingine nakula kwakua nasikia ni muhimu kwa kujenga mwili.
 
Back
Top Bottom