Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Mboga za majani ninazokula bila kulalamika ni mchicha, kabichi na matembele.

Nyingine nakula kwakua nasikia ni muhimu kwa kujenga mwili.

Kwa upishi huu wa wengi hakuna mbogamboga itakujenga mwili.
 
😅 😅 😅 😅 Kwakuwa unakuwa ugenini unavunga tu ila huyo kawakomoa. Halafu utakuta yeye anajikubari kinoma kuwa mpishi
😂😂😂kama ulikuwepo, anajikubali balaa humwambii kitu kuhusu viungo
 
😂😂😂kama ulikuwepo, anajikubali balaa humwambii kitu kuhusu viungo
Wengi uwa anajikubali, kuna jamaa ana mke wake hajui kupika ila mtata, sasa jamaa uwa ananichekesha hata mkewe apike chakula hakijaiva atakula arambe mpaka sahani akimsifia kuwa anajua kupika maana mkewe ni mtata sana. Halafu ni watu wazima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]haki nimecheka sana, Jamaa yako ana busara sana mpongeze kwa niaba yangu
 
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi?

Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni.

Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi,
Mwingine anaita
Minyoo hiyo Mimi silagi.

Mwingine Nani ale mizizi hiyo?

Oooh sijawa ng'ombe hiyo kabichi usirudie kunitengea.

Huyu ndo balaa eti me yf akipika kabichi nikiikuta tu hadi sufuria alilopikia nalitupa,,, sipendi ujingaujinga.

Nimestaajabu sana kwa nini wanaume hampendi mboga ya kabichi?
Iliwafanya nini au INA nini kwenu?
Picha kwa hisani ya Uzi wa Vyakula
20200702_214143.jpg
 
Bilinganya sijui bamia sijui kisamvu mamamae pelekea mbuzi wakale nitazikuta kwenye nyama yao tu!
Yaan mtazamo wa Wageni watatu wa Kiume Nyumban kwangu ndio wa Wanaume wote?
Angalia hata humu wamoUnataka kusemaaaa?
tatizo upishi wengi hawaijulii..
shida upishi sio?
Kabichi pia na bilinganya dah aisee hazina radha. Bora nyanya chungu
Ila ikitengenezwa vizuri utakula?
Kwani inaongeza naniliu?
 
Back
Top Bottom