Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kabichi sio mboga, kabichi ni mateso na ndio maana jela inatumika kama chakula cha wafungwaKabichi ni mboga nzuri sana. Elimu ni muhimu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabichi sio mboga, kabichi ni mateso na ndio maana jela inatumika kama chakula cha wafungwaKabichi ni mboga nzuri sana. Elimu ni muhimu sana.
Kabichi sio mboga nashangaa namna neno mboga linavyotumika vibaya na baadhi ya watu humuTechnically sipendi vyakula ambavyo vina spices kwa wingi au vimepikwa kwa mafuta mengi
Na wafungwaKabichi na chainizi, kabichi pia inatumika sana kulishia nguruwe
Halafu Pale kati Wanyakyusa wanakuwekea na mildfielder yenye combination ya karangaBora kabichi kuliko majani ya maboga ukimeza kama unakula madudu washa
Just imagine
View attachment 1661575
Lako lipo Kama mbute..🤣Kama lako
Samahani but, uniwie radhi mzee.....mtarimbo unasimama vizuri.?...maana kabichi, spinach, chinese inasemekana zinaharibu mambo!Watu wa Dar hamuishiwi visa...
Mimi naweza kaa na kabich nzima nikaila bila kupikwa na napenda kinoma...
🤣🤣 Sawa bhana Bata wa watu..😅Nyau weee