Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Samahani but, uniwie radhi mzee.....mtarimbo unasimama vizuri.?...maana kabichi, spinach, chinese inasemekana zinaharibu mambo!
Niko fresh kabisa Mkuu

Sasa chips na kabich kipi kinaharibu mfumo???
 
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi?

Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni.

Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi,
Mwingine anaita
Minyoo hiyo Mimi silagi.

Mwingine Nani ale mizizi hiyo?

Oooh sijawa ng'ombe hiyo kabichi usirudie kunitengea.

Huyu ndo balaa eti me yf akipika kabichi nikiikuta tu hadi sufuria alilopikia nalitupa,,, sipendi ujingaujinga.

Nimestaajabu sana kwa nini wanaume hampendi mboga ya kabichi?
Iliwafanya nini au INA nini kwenu?
Kwa wale wasiyojua kuhusu kabichi ni mboga nzuri sana na hata wenye matatizo ya vidonda ni dawa nzuri sana kwao

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
HIVI KABICHI NI MBOGA MBOGA AU MBOGA MBOGA ILIYOKOSA VIRUTUBISHO KUIFANYA IWE YA KIJANI?
Ina virutubisho mkuu, kwa mfano wale wanaosumbuliwa na unene kabichi ni mzuri sana kwao pia inapunguza uzito, nitoshe kusema hayo
 
Unakula hata hupati taste ya unachokula, yani haieleweki unakula kitu gani hadi unaweza kuuliza hivi haya ni maharage kweli [emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahhhahhhahhaa [emoji1787].. ddddah. Nimecheka kwel kweli yani . Dah!
Ila una point hapa.. sometime hata mboga inakua confused iwe na ladha gani.. LoL

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa kuna muda unatamani upate taste ya unachokula lakini spices zinazidi kiasi kwamba huelewi elewi yani hadi una concentrate kwa makini hata uvute hisia labda utapata taste
 
Back
Top Bottom