Wanaume na kubadili dini

Wanaume na kubadili dini

Mama Mwana

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2023
Posts
2,435
Reaction score
7,784
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.

Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot.

Wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia
 
Dini kunawengine Huwa wanapenda Imani zingine sio kwaajili ya mapenz ipo mifano mingi tu pia
Hakuna mwenye haki ya kuhama dini yake hata mwanamke haifai mapenz ndio yanatufikisha huko
Nasimama na mleta mada kwamba mwanaume anapo hama dini yake na kumfuata mwanamje tayari anakua amejivua vyeo flani flani.
Hivi kwanza ukiwa na mwanaume ambae hawezi kuisimamia imani yake yeye binafsi, unaona anafaa kuisimami familia kweli...🤔
 
Hutaki kuelewa sababu ya ubinafsi ulonao
Mapenz ndio yanaamua watu wanajali furaha zao hawaangalii watu wataonaje
Msingi wa familia ni baba, mama kazi yake niku align vision za baba.
Bado mke ndio anapaswa kufuata imani ya mume wake.
Au kwa lugha rahisi ni kwamba......
Mume anapo fuata imani ya mke huo ni udhaifu mkubwa sana
 
kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi
😁😁😁Mi nlikuwa nimepigwa ban ndo imeisha Leo wiki nzima ni kama nlikuwa jela japo nlikuw na mda mwingi nlifanya kazi ya watu nlikamilisha Kwa wakati maana jf inakula mda wangu sana!


Turudi kwenye mada: Kubadilisha dini ni ufala wa Karne ya 19 siwezi badili dini kisa mapenzi, itakaa unyama zaidi kama mtapatana wa dini Moja lkn pia kutofautiana dini kusiwanyime fursa ya kuishi pamoja kama mtakua mmependana
 
Kila mtu na choices zake maishani...

Mtu mzima kachagua kufuata dini nyingine, hajalazimishwa then waja mnahangaika...

Mimi watoto wangu nitawafundisha kupenda watu wengine,kutoiba etc

Dini watachagua wenyewe wakifika 18 years old

Hata wakiamua kufuata dini za wahindi sawa tu
 
"""kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi """
Mwana mzima...!
 
Nasimama na mleta mada kwamba mwanaume anapo hama dini yake na kumfuata mwanamje tayari anakua amejivua vyeo flani flani.
Hivi kwanza ukiwa na mwanaume ambae hawezi kuisimamia imani yake yeye binafsi, unaona anafaa kuisimami familia kweli...🤔
Mimi nachojua Imani ni juu ya mtu binafs haihusiani anchoamini na mapenz yake juu ya Imani husika Kwa yoyote sio sahhi kuacha Imani Kwa ajili ya mapenz bali iwe unapenda unachokiendea ubadili sabbu et ni mwanamke alafu usisali Kwa dini iyo mpya ni unafki,si mwanamke si mwanaume hakuna mwenye uhalali wa kuacha Imani anayoipenda
 
Back
Top Bottom