Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.
Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot.
Wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia