Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Kwa wanawake ni kawaida lakini mwanaume kumfuata mwanamke hii sijaelewaDini kunawengine Huwa wanapenda Imani zingine sio kwaajili ya mapenz ipo mifano mingi tu pia
Hakuna mwenye haki ya kuhama dini yake hata mwanamke haifai mapenz ndio yanatufikisha huko
Hutaki kuelewa sababu ya ubinafsi ulonaokwa wanawake ni kawaida lakini mwanaume kumfuata mwanamke hii sijaelewa
Nasimama na mleta mada kwamba mwanaume anapo hama dini yake na kumfuata mwanamje tayari anakua amejivua vyeo flani flani.Dini kunawengine Huwa wanapenda Imani zingine sio kwaajili ya mapenz ipo mifano mingi tu pia
Hakuna mwenye haki ya kuhama dini yake hata mwanamke haifai mapenz ndio yanatufikisha huko
Msingi wa familia ni baba, mama kazi yake niku align vision za baba.Hutaki kuelewa sababu ya ubinafsi ulonao
Mapenz ndio yanaamua watu wanajali furaha zao hawaangalii watu wataonaje
πππMi nlikuwa nimepigwa ban ndo imeisha Leo wiki nzima ni kama nlikuwa jela japo nlikuw na mda mwingi nlifanya kazi ya watu nlikamilisha Kwa wakati maana jf inakula mda wangu sana!kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi
Mimi nachojua Imani ni juu ya mtu binafs haihusiani anchoamini na mapenz yake juu ya Imani husika Kwa yoyote sio sahhi kuacha Imani Kwa ajili ya mapenz bali iwe unapenda unachokiendea ubadili sabbu et ni mwanamke alafu usisali Kwa dini iyo mpya ni unafki,si mwanamke si mwanaume hakuna mwenye uhalali wa kuacha Imani anayoipendaNasimama na mleta mada kwamba mwanaume anapo hama dini yake na kumfuata mwanamje tayari anakua amejivua vyeo flani flani.
Hivi kwanza ukiwa na mwanaume ambae hawezi kuisimamia imani yake yeye binafsi, unaona anafaa kuisimami familia kweli...π€