KUna vitu nimeviandika...mwl wanguDini kunawengine Huwa wanapenda Imani zingine sio kwaajili ya mapenz ipo mifano mingi tu pia
Hakuna mwenye haki ya kuhama dini yake hata mwanamke haifai mapenz ndio yanatufikisha huko
Vitu gani πKUna vitu nimeviandika...mwl wangu
NakaziaHutaki kuelewa sababu ya ubinafsi ulonao
Mapenz ndio yanaamua watu wanajali furaha zao hawaangalii watu wataonaje
Kinachozungumziwa ni mwanaume kuwa submissive kwa dini ya mwanamke.Dini kunawengine Huwa wanapenda Imani zingine sio kwaajili ya mapenz ipo mifano mingi tu pia
Hakuna mwenye haki ya kuhama dini yake hata mwanamke haifai mapenz ndio yanatufikisha huko
Ulinkonyofu ghwankajha.Katika vitu ambavyo nipo flexible ni hizi dini, huku nilipo kwenyewe nipo kama sipo l,sasa ikitokea moyo umemdondokea muislamu nitahama tu.
Asante sana,aisee umeongea point sana.Binafsi ujinga huo siwezi kufanya.kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo. Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot, wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia
Ah!!,Wapi.Demu ndio ahamie kwangu kwasababu siku zote Mwanaume atabaki Mwanaume na Mwanamke atabaki mwanamke na lazima atii kila Kidume nasema.Otherwise basi muoane wote wa imani moja,hata Kanisani kwetu Vijana huwa wanashauriwa hivyo,kuwa waoane wao kwa wao ili kuepusha wadada kubadili dini maana kwa vyovyote vile wanawake ni dhaifu tofauti na Wanaume.Hutaki kuelewa sababu ya ubinafsi ulonao
Mapenz ndio yanaamua watu wanajali furaha zao hawaangalii watu wataonaje
kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo. Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot, wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia
Ni heri hivo na mtu abadili Kwa moyowake kunipenda Imani na ilivo ngumu kwako kumfata mwanamke ndio ngumu Kwa mwanamke kukufata wewe na wengi waliowahi wanaishi kama wapo jelaAh!!,Wapi.Demu ndio ahamie kwangu kwasababu siku zote Mwanaume atabaki Mwanaume na Mwanamke atabaki mwanamke na lazima atii kila Kidume nasema.Otherwise basi muoane wote wa imani moja,hata Kanisani kwetu Vijana huwa wanashauriwa hivyo,kuwa waoane wao kwa wao ili kuepusha wadada kubadili dini maana kwa vyovyote vile wanawake ni dhaifu tofauti na Wanaume.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Mbwa mkubwa weHabari zimfikie huyu mpuuzi Nesi mkunga aliyetozwa mahari ya 4.5M kwa binti wa kisabato huku yeye ni muislamu,sijui kakosa mabinti wa dini yake huko misikitini harafu anakuja kulalama jukwaani
very well halaf unatarajia awe baba mwenye sauti ndani ya nyumbaNasimama na mleta mada kwamba mwanaume anapo hama dini yake na kumfuata mwanamje tayari anakua amejivua vyeo flani flani.
Hivi kwanza ukiwa na mwanaume ambae hawezi kuisimamia imani yake yeye binafsi, unaona anafaa kuisimami familia kweli...π€
mimi sio feminist ni muumin wa mwanamke kua chini ya mwanamke hata kwa upande wangu napenda mwanaume awe na sauti ya mamlaka sasa umebadili dini umeifuata si nitakupelekesha sanaMsingi wa familia ni baba, mama kazi yake niku align vision za baba.
Bado mke ndio anapaswa kufuata imani ya mume wake.
Au kwa lugha rahisi ni kwamba......
Mume anapo fuata imani ya mke huo ni udhaifu mkubwa sana
haina shida si wenye jinsia mbili wapo eh ndio mimiWatakuja kusema una mwandiko wa kiume mkuu ππ
sasa yule unatarajia awe na sauti ndani ya nyumba? no, kwanza kitendo chakubadili dini kumfata mwanamke tayar huo ni udhaifumambo ya barnaba classic hayo hapo unakuwa umeolewa hujaoa
inaonekana na wewe umebadili dini kumfata mwanamke sorry for youTupunguze kupangiana