Wanaume na kubadili dini

Wanaume na kubadili dini

Ni upuuzi na ujinga mwanaume mzima kichwa cha familia tarajiwa unabadili dini kisa uchi wa mwanamke. Ni upuuzi wa hali ya juu sana. Babu zako na bibi zako walizaliwa na walizikwa kwa imani hio wewe kwa ujinga wako tena kwa lianamke ambalo sio virgin unabadilisha dini. Haya ndio matatizo ya kutokua na imani dhabiti katika dini. Unaachaje dini ya baba yako na mama yako afu unafuata mlengo wa wazazi wa mtu mwingine?. Ndio masuala ya mtu kujiita mimi dini flani kumbe huna imani ndani yako, imani yako inapojaribiwa kidogo unaanguka kama chaufupi barnaba.
 
Dini kunawengine Huwa wanapenda Imani zingine sio kwaajili ya mapenz ipo mifano mingi tu pia
Hakuna mwenye haki ya kuhama dini yake hata mwanamke haifai mapenz ndio yanatufikisha huko
Kinachozungumziwa ni mwanaume kuwa submissive kwa dini ya mwanamke.

Mwanamke ndo anatakiwa amfuate mwanaume.
Mwanamke hana dini.

Kama itashindikana mkaape bomani kila mtu asimame upande wake lakini si mwanaume kuhama dini yake, maana kinachosimama hapa ni upendo na wala sio dini zenu.
 
Habari zimfikie huyu mpuuzi Nesi mkunga aliyetozwa mahari ya 4.5M kwa binti wa kisabato huku yeye ni muislamu,sijui kakosa mabinti wa dini yake huko misikitini harafu anakuja kulalama jukwaani
 
kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo. Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot, wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia
Asante sana,aisee umeongea point sana.Binafsi ujinga huo siwezi kufanya.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Hutaki kuelewa sababu ya ubinafsi ulonao
Mapenz ndio yanaamua watu wanajali furaha zao hawaangalii watu wataonaje
Ah!!,Wapi.Demu ndio ahamie kwangu kwasababu siku zote Mwanaume atabaki Mwanaume na Mwanamke atabaki mwanamke na lazima atii kila Kidume nasema.Otherwise basi muoane wote wa imani moja,hata Kanisani kwetu Vijana huwa wanashauriwa hivyo,kuwa waoane wao kwa wao ili kuepusha wadada kubadili dini maana kwa vyovyote vile wanawake ni dhaifu tofauti na Wanaume.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo. Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot, wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia

Ngoja Barnaba Mohamed aje kutuelezea uzoefu wake.
 
Ah!!,Wapi.Demu ndio ahamie kwangu kwasababu siku zote Mwanaume atabaki Mwanaume na Mwanamke atabaki mwanamke na lazima atii kila Kidume nasema.Otherwise basi muoane wote wa imani moja,hata Kanisani kwetu Vijana huwa wanashauriwa hivyo,kuwa waoane wao kwa wao ili kuepusha wadada kubadili dini maana kwa vyovyote vile wanawake ni dhaifu tofauti na Wanaume.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Ni heri hivo na mtu abadili Kwa moyowake kunipenda Imani na ilivo ngumu kwako kumfata mwanamke ndio ngumu Kwa mwanamke kukufata wewe na wengi waliowahi wanaishi kama wapo jela
Nina mifano mingi Kwa rafikizangu na hata ndugu
Kuna mama mtu mzima sana alibadili kuwa muislam akiwa bint kaolewa kakaa kwenye ndoa miak Zaid ya ishirin mume kafariki karudi kwenye dini yak ya zamani,fikiria kias gani kaishinkwa shida ya kuabudu asichokipenda Kwa miak mingi
 
Nasimama na mleta mada kwamba mwanaume anapo hama dini yake na kumfuata mwanamje tayari anakua amejivua vyeo flani flani.
Hivi kwanza ukiwa na mwanaume ambae hawezi kuisimamia imani yake yeye binafsi, unaona anafaa kuisimami familia kweli...🤔
very well halaf unatarajia awe baba mwenye sauti ndani ya nyumba
 
Msingi wa familia ni baba, mama kazi yake niku align vision za baba.
Bado mke ndio anapaswa kufuata imani ya mume wake.
Au kwa lugha rahisi ni kwamba......
Mume anapo fuata imani ya mke huo ni udhaifu mkubwa sana
mimi sio feminist ni muumin wa mwanamke kua chini ya mwanamke hata kwa upande wangu napenda mwanaume awe na sauti ya mamlaka sasa umebadili dini umeifuata si nitakupelekesha sana
 
Back
Top Bottom