Wanaume na kubadili dini


Kutikisa kiberiti, inategemea hio couple imeishije, kama mwanaume amesimama kama mwanaume katika familia, na mwanamke aliyeoolewa hachukulii kubadili dini ni sign of weakness,sidhani kama kutakua na kutikisa kiberiti...

ni perception tu za watu mwanaume anayebadilisha dini ni weak,less masculine, in reality hakuna kilichopungua,...anaweza kuperform duties zake vile vile kama mwanaume,......

Binafsi naamini mtu anabadilisha dini bada ya kukubaliana na miongozo ya dini hio mpya au ameona potential benefits za kuwa kwenye hio dini, na sio kumpata mtu kama tunavyotafsiri waja,na hata kama mtu ana badili dini kisa kupata mwanamke still tuheshimu choice zake, mtu huyu anakua ame weigh na kuona huyu mwanamke is worth the sacrifice, ni choice ya mtu ..
 

I agree
 
Mwanamume kufuata dini ya mwanamke obvious ni kuwa mwanaume ameonesha udhaifu mkubwa pili nafikiri alikua kwenye iyo dini si kiimani Bali aliiridhi kwa mtu anayeijua dini yake vizur hawezi hama hata Kwa vipande vya rupia
 
kuna watu watakuja kukuambia kila mtu na maamuzi yake tusiwapangie

raha ya mwaaume awe na sauti ya mamlaka hakuna kitu kizur kwenye mahusiano au familia uwe na mwanaume anayejua vyema jukum lake sio hawa wa kubadili dini kufata mwanamke mimi kunae mmoja alitaka tuoane ndoa za mseto nikamwambia hapa kila mtu ale chaka lake mambo ya ndoa za mseto ndio nn tukaachana
 
wewe umenielewa vyema
 
Huyo jamaa nadhani ujumbe umemfikia, ila na wewe usinge mzungusha zungusha sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mara nyingi watu wanafuata dini ya haki mfano Thomas partey
 
sijaelewa
Dini ya haki Kwa hiari yake .

Dada yangu kaolewa na mkristo ila hakubadili dini. Huyu shemeji yangu wanae anawalea katika maadili ya kujistiri kama sisi waislamu anapenda tu japo wanae wana majina ya kikristo.
 
Dini ya haki Kwa hiari yake .

Dada yangu kaolewa na mkristo ila hakubadili dini. Huyu shemeji yangu wanae anawalea katika maadili ya kujistiri kama sisi waislamu anapenda tu japo wanae wana majina ya kikristo.
walioanaje bomani au kimila?? kuna mtu huju mke ni muslim mume mkristo wamezaa watoto watatu hawajafunga ndoa ya dini lakini mume anamwambia ukitaka tuoane njoo ukriston ajabu ikifika ramadhan mdada anapika ftar anafunga kabisa ikiisha mahaba yanarudi
 
Walioana kiislamu Kwa vile ilikuwa simple na kingine.. Sisi Imani yetu ule upande wa mume(shemeji yetu) hatuhusiki ni kwamba hata kama angebadili dini pasingekuwa na tatizo ,baba hajachukua hta shilling 10 ya mahari.
Wanapobadili sioni tatizo kama mtu ni hiari yake.
kingine haina athari Kwa vile upande wa shemeji hatuhusiki yaani jamaa kwao ni uchagni sipajui ila sister ameishi huko na pia hata kwenda kukaa Kwa sister sijawahi hata kuomba kipind nasoma sijui kumpigia kuhusu michango ,kiufupi hata mamba ya jamaa yake sijawahi kuwa nayo hata kuongea pamoja ni miaka inaenda 17

Na kwetu hamna ulazima ya kuja nyakati moja sister anaenda Kwa ratiba za kazi yake ,tunapishana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…