Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ndugu tunabadili hatubadili?Mnataka 50%sasa mnafatwa mnalalama kuwa Kuna vyeo vimepingua kila mtu asimamie misingi yake tu😆😆😆😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu tunabadili hatubadili?Mnataka 50%sasa mnafatwa mnalalama kuwa Kuna vyeo vimepingua kila mtu asimamie misingi yake tu😆😆😆😎
Mleta mada nafikiri anamaanisha sio kubadili dini kisa kuvutiwa na imani nyingine au choices no, she mean yani man kubadili dini immediately kisa ampate mwanamke. Is not that enough for a sane woman to judge that her man hajajitosheleza? Kama alibadilibkisa akupate then ahame why usimkubali akiwa kwenye dini yake? Don’t you think kwamba pengine amebadili ili akupate tu then aendelee na dini yake?
Kama alihama dini muda then mkakutana ndani ya dini sawa, lakini on the spot nihame dini ati kigezo nimpate girl that’s the sign of fewer masculines in me, it’s a weakness.
For some ladies anaweza kutumia huu mwanya kama silaha kua anajaribu kutikisa kiberiti to force something.
Kutikisa kiberiti, inategemea hio couple imeishije, kama mwanaume amesimama kama mwanaume katika familia, na mwanamke aliyeoolewa hachukulii kubadili dini ni sign of weakness,sidhani kama kutakua na kutikisa kiberiti...
ni perception tu za watu mwanaume anayebadilisha dini ni weak,less masculine, in reality hakuna kilichopungua,...anaweza kuperform duties zake vile vile kama mwanaume,......
Binafsi naamini mtu anabadilisha dini bada ya kukubaliana na miongozo ya dini hio mpya au ameona potential benefits za kuwa kwenye hio dini, na sio kumpata mtu kama tunavyotafsiri waja,na hata kama mtu ana badili dini kisa kupata mwanamke still tuheshimu choice zake, mtu huyu anakua ame weigh na kuona huyu mwanamke is worth the sacrifice, ni choice ya mtu ..
Soon utahama nahuo uanaume mana upo kama hupoKatika vitu ambavyo nipo flexible ni hizi dini, huku nilipo kwenyewe nipo kama sipo l,sasa ikitokea moyo umemdondokea muislamu nitahama tu.
Nakazia boss ingawa sijabadili 😀Tupunguze kupangiana
unamjuaNime mmiss sana jaman 😋😋😋🤓🤓
kuna watu watakuja kukuambia kila mtu na maamuzi yake tusiwapangieTuko pamoja mama mwana, mie mwanaume akikubali kufuata dini yangu nampangia namna ya kumuacha, kuna mkaka flani hivi nilimsimulia shida zangu alikuwa ananitongoza kiaina basi akaanza kutokwa machozi yani niliflot hata tule tuhisia tulitwokuwa tumeanza tulipoa twoooote na nilimkatia ukaribu mpaka alishangaa asijue sababu, wanawake hatupendi wanaume wanaoendeshwa kama remote
wewe umenielewa vyemaMleta mada nafikiri anamaanisha sio kubadili dini kisa kuvutiwa na imani nyingine au choices no, she mean yani man kubadili dini immediately kisa ampate mwanamke. Is not that enough for a sane woman to judge that her man hajajitosheleza? Kama alibadilibkisa akupate then ahame why usimkubali akiwa kwenye dini yake? Don’t you think kwamba pengine amebadili ili akupate tu then aendelee na dini yake?
Kama alihama dini muda then mkakutana ndani ya dini sawa, lakini on the spot nihame dini ati kigezo nimpate girl that’s the sign of fewer masculines in me, it’s a weakness.
For some ladies anaweza kutumia huu mwanya kama silaha kua anajaribu kutikisa kiberiti to force something.
hicho kifua hapo kwenye picha ni chakoNdugu tunabadili hatubadili?
😂😂😂😂😂
basi hapo unajikuta mjanjaaaa huna ulijualoHuyo jamaa nadhani ujumbe umemfikia, ila na wewe usinge mzungusha zungusha sasa 😂😂
😂😂😂😂😂 ni mada kama mada zingineAcheni uchochezi.
mara nyingi watu wanafuata dini ya Hali mfano Thomas partey
sijaelewamara nyingi watu wanafuata dini ya Hali mfano Thomas partey
Dini ya haki Kwa hiari yake .sijaelewa
walioanaje bomani au kimila?? kuna mtu huju mke ni muslim mume mkristo wamezaa watoto watatu hawajafunga ndoa ya dini lakini mume anamwambia ukitaka tuoane njoo ukriston ajabu ikifika ramadhan mdada anapika ftar anafunga kabisa ikiisha mahaba yanarudiDini ya haki Kwa hiari yake .
Dada yangu kaolewa na mkristo ila hakubadili dini. Huyu shemeji yangu wanae anawalea katika maadili ya kujistiri kama sisi waislamu anapenda tu japo wanae wana majina ya kikristo.
Walioana kiislamu Kwa vile ilikuwa simple na kingine.. Sisi Imani yetu ule upande wa mume(shemeji yetu) hatuhusiki ni kwamba hata kama angebadili dini pasingekuwa na tatizo ,baba hajachukua hta shilling 10 ya mahari.walioanaje bomani au kimila?? kuna mtu huju mke ni muslim mume mkristo wamezaa watoto watatu hawajafunga ndoa ya dini lakini mume anamwambia ukitaka tuoane njoo ukriston ajabu ikifika ramadhan mdada anapika ftar anafunga kabisa ikiisha mahaba yanarudi