Wanaume na mavazi ya kike

Wanaume na mavazi ya kike

Muwazi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
355
Reaction score
81
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona mjanja! Huu ni ujanja au ni dalili za kukengeuka? Tangu dunia hii ilipoumbwa, inajulikana kwamba urembo ni kwa ajili ya wanawake.

Mwanaume hata ukiwa rafu ni pouwa tu-- hakuna mtu atakayekushangaa, tofauti na ilivyo kwa wanawake. Mwanamke ni kiumbe anayejisikia kuonekana nadhifu na mrembo nyakati zote.

Hivyo hupenda kuvaa vifaa vya urembo kama vile hereni, mikufu, pete, vidani, bangili, nk. Sasa wale wanaume wanaovaa vifaa hivi vya KIKE tuwaweke fungu gani?

Si wavae na sketi kabisa ili tujue moja? Kwa kweli wanaume wenzangu wanaovaa pete, hereni na mikufu wananiudhi sana. Mimi siwezi hata kuvaa saa kwa kuwa inanifanya nijihisi nimevaa bangili! Sasa iweje wanaume na ndevu zao watamani kuvaa urembo wa kike?

Naomba tujadiliane BILA JAZBA hadi jibu.

lipatikane HH
 
Ni ulimbukeni wa ku copy na ku paste kutoka kwa wazungu.

suluhisho....wamwamini Yesu Kristo Mnazarethi watabadilika.

"hata imekuwa mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya"
 
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona mjanja! Huu ni ujanja au ni dalili za kukengeuka? Tangu dunia hii ilipoumbwa, inajulikana kwamba urembo ni kwa ajili ya wanawake.

Mwanaume hata ukiwa rafu ni pouwa tu-- hakuna mtu atakayekushangaa, tofauti na ilivyo kwa wanawake. Mwanamke ni kiumbe anayejisikia kuonekana nadhifu na mrembo nyakati zote.

Hivyo hupenda kuvaa vifaa vya urembo kama vile hereni, mikufu, pete, vidani, bangili, nk. Sasa wale wanaume wanaovaa vifaa hivi vya KIKE tuwaweke fungu gani?

Si wavae na sketi kabisa ili tujue moja? Kwa kweli wanaume wenzangu wanaovaa pete, hereni na mikufu wananiudhi sana. Mimi siwezi hata kuvaa saa kwa kuwa inanifanya nijihisi nimevaa bangili! Sasa iweje wanaume na ndevu zao watamani kuvaa urembo wa kike?

Naomba tujadiliane BILA JAZBA hadi jibu.

lipatikane HH

We una sema si wavae na sketi hivi hukumuona mzee mzima kile kisketi alichokitinga siku anakabidhiwa tuzo za msanii bora wa bongo fleva,
 
Hasa hawa wasanii wa bangefleva mi wananiudhi ka'nini.
 
Ila kweli wengine wanazidisha sijui kwanini wameamua kuwaiga wadhungu kila kitu hata kitu kibaya wao wanaiga tu
 
Akyanani,siku nakukuta umevaa mapambo ya mtoto wa kike nakutongoza kabisa.Ukianza kuvaa vaa urembo una vaa roho za kutaman kupigwa "kibuyu"
 
Siyo cheni tu hata mashati siku hizi yanashonwa kama blauzi na baadhi ya vijana huvaa ili waonekane wajanja.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kweli aisee' wenyewe wakivaa wanajiona wajanja au watoto wa mujini!! Kumbe ujanja haupo kwenye hayo mambo' ujanja upo akilini mwa mtu, na ndo maana judgement ya mtu haitolewi kwakuangalia mavazi yake lah hasha' bali the way you behave and how you coupe with any situation you face!!
 
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona mjanja! Huu ni ujanja au ni dalili za kukengeuka? Tangu dunia hii ilipoumbwa, inajulikana kwamba urembo ni kwa ajili ya wanawake.

Mwanaume hata ukiwa rafu ni pouwa tu-- hakuna mtu atakayekushangaa, tofauti na ilivyo kwa wanawake. Mwanamke ni kiumbe anayejisikia kuonekana nadhifu na mrembo nyakati zote.

Hivyo hupenda kuvaa vifaa vya urembo kama vile hereni, mikufu, pete, vidani, bangili, nk. Sasa wale wanaume wanaovaa vifaa hivi vya KIKE tuwaweke fungu gani?

Si wavae na sketi kabisa ili tujue moja? Kwa kweli wanaume wenzangu wanaovaa pete, hereni na mikufu wananiudhi sana. Mimi siwezi hata kuvaa saa kwa kuwa inanifanya nijihisi nimevaa bangili! Sasa iweje wanaume na ndevu zao watamani kuvaa urembo wa kike?

Naomba tujadiliane BILA JAZBA hadi jibu.

lipatikane HH

Sisi wamai mnatuweka kundi gani?
 
Mwanaume Ni Mwanaume, Kikubwa Ni Pesa Ndio Utaonekana Mwanaume, UNAKUTANA NA MWANAUME KAVAA SURUALI IMESHONEA KITAMBA CHA KITENGE,ALAFU KACHOMEKEA KAPIGA NA RABA, HUWA SIWAELEWI KABISA, HUYU MUSTAFA HASANALI ANA WAHARIBU SANA VIJANA NA FASION SHOW ZAKE.
 
CC. Mh. Ben Willy Mkapa...... mzee wa cheni kuuubwaaa! ya dhahabu., Presda, mtoto wa mkulima na mapete makuuubwaa!
 
Back
Top Bottom