Wanaume na mavazi ya kike

Wanaume na mavazi ya kike

Ila kweli wengine wanazidisha sijui kwanini wameamua kuwaiga wadhungu kila kitu hata kitu kibaya wao wanaiga tu

Yaani haya yanaudhi sana maana wanaiga ambayo sio ya kiafrika tena mabaya zaidi. Laiti ningekuwa kiongozi wa nchi hii ningefanya kama Rais KAGUTA MSEVENI wa UGANDA. Yaani hizi ni kero tupu.
 
Ni ulimbukeni wa ku copy na ku paste kutoka kwa wazungu.

suluhisho....wamwamini Yesu Kristo Mnazarethi watabadilika.

"hata imekuwa mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya"

Kwa ni Yesu naye si alikua Mzungu? Na wewe umesema ulimbukeni wa ku copy na ku paste kutoka kwa wazungu!
Sasa wakimuamini Yesu si issue ileile ya ku copy& paste?
 
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona mjanja! Huu ni ujanja au ni dalili za kukengeuka? Tangu dunia hii ilipoumbwa, inajulikana kwamba urembo ni kwa ajili ya wanawake.

Mwanaume hata ukiwa rafu ni pouwa tu-- hakuna mtu atakayekushangaa, tofauti na ilivyo kwa wanawake. Mwanamke ni kiumbe anayejisikia kuonekana nadhifu na mrembo nyakati zote.

Hivyo hupenda kuvaa vifaa vya urembo kama vile hereni, mikufu, pete, vidani, bangili, nk. Sasa wale wanaume wanaovaa vifaa hivi vya KIKE tuwaweke fungu gani?

Si wavae na sketi kabisa ili tujue moja? Kwa kweli wanaume wenzangu wanaovaa pete, hereni na mikufu wananiudhi sana. Mimi siwezi hata kuvaa saa kwa kuwa inanifanya nijihisi nimevaa bangili! Sasa iweje wanaume na ndevu zao watamani kuvaa urembo wa kike?

Naomba tujadiliane BILA JAZBA hadi jibu.

lipatikane HH

Mkuu sina namna ya kukushukuru, ukweli jambo hili ni tatizo kubwa sana linatuudhi sana, HONGERA SANA KWA BUSARA YAKO NA HEKIMA ULIONAYO japo sijajua umri wako, lakini km uko chini ya 35yrs basi JITAMBUE KUWA UNA NA UTA KUWA NA HEKIMA KUBWA SANA nadhani pia malezi uliokulia WAPE WAZAZI WAKO HONGERA YANGU ,...
 
Hii thread mbona imerudiwa na content ileile haijabadilishwa hata sehemu moja?
 
mi naoana ni ulimbukeni na ushamba maana wenzao wanavaa kwa sababu mbali mbali ikiwemo ushoga nakadhalika
 
Jamani mmesahau jingine kuwa wanalegeza sauti ,pia sasa hivi wanajua kuringa kuliko wanawake.
Pia hata kule kushusha kata k.
 
Yaani haya yanaudhi sana maana wanaiga ambayo sio ya kiafrika tena mabaya zaidi. Laiti ningekuwa kiongozi wa nchi hii ningefanya kama Rais KAGUTA MSEVENI wa UGANDA. Yaani hizi ni kero tupu.

Tanzania Viongozi wa kukemea Uvunjifu wa Maadili bado hawajazaliwa na hawa waliopo sasa hawawezi kuthubutu kukemea hayo hata wale Wavaaji hovyo (milegezo kata K) wanajua si Waziri au Mbunge au IGP mwenye uwezo wa kuwagusa hapa Tanzania uvaaji wa hovyo hovyo ni Ruksa wewe vaa uwezavyo Hakuna wa kukuuliza . Kule Kenya sasa Magari yote vyioo ni vyeupe wametii amri michepuko kwenye magari imepungua kadhalika Uganda kimaadili wapo vizuri tatizo limebakia kwa Tanzania tu.
 
Jamani mmesahau jingine kuwa wanalegeza sauti ,pia sasa hivi wanajua kuringa kuliko wanawake.
Pia hata kule kushusha kata k.

Nywele kujiremba kupiliza mikorogo,wapo wanaume wanamiliki Vipodozi vingi kuliko wanawake ,tatizo hapa Tanzania tumekosa kiongozi mwenye kuthubutu kukemea Uvaaji wa kata K ( mlegezo ) kwa vitendo na sheria ikatekelezeka Maana kuna baadhi ya sheria hapa Tz huwa hazitekelezeki Mfano ni ile Sheria ya Uvutaji sigara kwenye mikusanyiko , Rais Mseveni ameweza lakini Tanzania bado wanawaogopa wavunja maadili .
 
tanzania ilipata uhuru wake miaka 51 iliyopita.

ilipata Uhuru wa Bendera tu tambua Kuwa hadi Leo Barua ya Kingereza ndio inatumika kwenye maombi ya kazi, Wabunge,mawaziri na Viongozi wengine wanafikiri shida za wananchi kwa Lugha za kigeni wakipanga mipango na kuongea huchanganya lugha ( kiswanglish ) kutwa kuomba misaada kwa Wakoloni na IFM wametawala uchumi wetu kwa masharti Yao ,ukoloni mambo Leo upo bado .
 
Akyanani,siku nakukuta umevaa mapambo ya mtoto wa kike nakutongoza kabisa.Ukianza kuvaa vaa urembo una vaa roho za kutaman kupigwa "kibuyu"

hizi nazo ni dalili za ushoga tu! utamtongozaje mwanaume mwenzio badala ya kumrudisha kwenye mstari?

kumbe ndio maana d.cameroon kalazimisha muwe mashoga kwa sababu ameona fursa!
 
Ila kweli wengine wanazidisha sijui kwanini wameamua kuwaiga wadhungu kila kitu hata kitu kibaya wao wanaiga tu

Eti hapa Tz ni Sifa kwa Mtu kuongea Kiswanglish ?Bado wanadhani cha Mzungu ni bora kuliko chao.
 
Swagger tunapaka powder na caro light mtasubiri sana
 
Hakuna watu ambao mimi nawadharau kama hawa mambwiga wa kiume wanaovaa vitu vya kike halafu ukute mtu mwingine ana elimu mzuri lakin unamkuta amevaa blauzi na hereni.....
 
do not judge somebody so as you cant be judged,do your thing,deal with your life you will win its only simple minds who discuss people,personalities and not ideas and issues ,on my side everybody has a right to do whatever which has not been forbidden,but in other way people wearing earings and chains are based on huliganism,notorius,other believers,other have their own meanings like an earing is a star,chain might be symbolism or msg to ladies,world and extra if you call them gays or say they embarras its your shallow point of thinking and way the world isnt so cheap and easy when dealing with humans
 
Wamelaaniwa wale Wanaume wanaojifananisha na Wanawake
Wamelaaniwa wale Wanawake wanaojifananisha na Wanaume
 
Back
Top Bottom