Wanaume na suala la kuhonga

mwanamke ni akili, kama anawaza kuvaa na sim kali hatabukioa huyo lazima akigawe kwa boda boda mzoa taka the list goes on, kwa sababu kuna siku utakosa na yeye anataka amantain status yake ndio atawaza tu kukitoa
 
majority ya humi n fuata mkumbo kwamba kipi kina trend wanaenda nacho wakat kiuhalisia hawako hivyo
 
Hamna mwanamme hasiye penda kumpatia mahitaji ya MSINGI mpenzi wake na kama wapo ni wachache sana.

Tatizo nyinyi siku hizi mizinga yenu haina uhalisia ( SI VYA MSINGI) na hamjua kuomba bali MNATAKA,mnataka simu kali,nguo za brand kubwa,bado kuna bundle,kila sherehe unataka nguo mpya na hapo bado hujaweka VIKOBA,MICHEZO MAJINA MATATU na MIKOPO,yote mnataka ilipwe kupitia hela ya mwanaume.

Kuna wengine wana kazi,mikopo,vikoba,michezo ila hela wanazopata hata wao wenyewe hawajui zinaishiaga wapi.Ndio maana wengi mnatumika sana kingono na wengine hata hisia za mapenzi hamna mnaangalia mwanaume mwenye hela.
 
Hahahahahaha..humu kuna watu wana dhiki na shida nyingi sana kiasi kwqmba hadi unawaonea huruma
 
mwanamke ni akili, kama anawaza kuvaa na sim kali hatabukioa huyo lazima akigawe kwa boda boda mzoa taka the list goes on, kwa sababu kuna siku utakosa na yeye anataka amantain status yake ndio atawaza tu kukitoa
Wanawake wenye akili nchi hii ambao hawaamini katika kuhongwa hawafiki hata Milioni 2.

Waliobaki wote ni wajinga wanaodhani maisha mazuri yanapatikana kwa kuhongwa na wanaume.
 
unajua kama mwanamke lazima ajifunze kuridhika, apende mahitaj kulingana na uwezo waliokua nao, sasa mume hana uwezo utamwambia akununulie gar wakat huku ana pikipiki? huu n ujinga wanawake wa hivi ndio hutuponzea sisi wote
 
Wanawake wenye akili nchi hii ambao hawaamini katika kuhongwa hawafiki hata Milioni 2.

Waliobaki wote ni wajinga wanaodhani maisha mazuri yanapatikana kwa kuhongwa na wanaume.
na ndio hao wanaotuponza mpaka tunawekwa kundi moja
 
Pale hata jogoo tu wa kuku alipowashinda. Maana jogoo hutafuta akajipendekeza kwa jike, na jike ataamua ama abonyee ama la ili jogoo aendelee kutafuta funza mzr zaidi mpaka jike akubali. Yaani hata wanyama wamebaki na taratibu za kimaumbile zinazoimarisha mahusiano. Pole zao wana, Mungu tu awasaidie.
 
Ni Africa pekee ambapo mwanamke anatarajia kupewa yeye tu na mwanaume. Ni Africa pekee ambapo mwanamke anahisi kupata mwanaume ni mithili ya kupata ajira ya kudumu na kuwa matatizo yake yote yamefika ukomo. Ni Africa pekee ambapo kipimo cha upendo wa mwanaume kwa mwanamke ni kiaisi cha pesa anachopewa na mwanaume huyo.

Ifikie wakati wanawake watambue kuwa mapenzi sio ajira, ni hisia tu baina ya watu wawili. Na watambue pia kuwa uchi sio kitega uchumi ni kiungo cha mwili kilichoumbwa sababu ya kujamiiana na kuzaliana.
 
unajua kama mwanamke lazima ajifunze kuridhika, apende mahitaj kulingana na uwezo waliokua nao, sasa mume hana uwezo utamwambia akununulie gar wakat huku ana pikipiki? huu n ujinga wanawake wa hivi ndio hutuponzea sisi wote
Wanawake wengi wenu siku hizi mnaakiri kama za watoto wadogo,kuna mwanamke anataka Sumsung wakati mme wake uwezo wake ni Techno na hapo unakuta huyo mume wake kamkuta anatumia iTel.

Ila wapo wanawake (wachache),wana uwezo wa kuadapt hali za uchumi za wenza wao na hata kusaidia mchango wa MAWAZO tu kuboost hali ya uchumi wa mwenzi wake na wengine hata kutoa msaada kidogo ili kumboost mwenza wake.

Kuna wanawake wengine mwenza wake anapopitia hali mbaya ya kiuchumi ndipo kelele zinaanza,masimango ,manyanyaso,kiburi nk anasahahu hata lile good life alilopewa na mmewe,kwa miaka mingi tu na kumvumilia kwa kumfariji na kumpatia msaada hata wa kimawazo.
 
mimi ninayojuabkwa uelewa wangu mwanaume ndio kichwa cha familia, lazima apambane kwa ajili ya familia yake, ikitokea mwanaume huyu amepata mke mwenye kazi, mwanamke huyo anatakiwa ajazilize pale ambapo mwanaume ameishilizia siwez kufanya kaz na bado nikataka mwanaume anitimizie mahitaj yote bas ni bora yeye ahudumie wanawe mimi nitajihudumia mwenyewe japo hii roho ni ya kuipinga mnatakiwa kushirikiana pamoja
 
mind you sikubaliani na mwanamke ambae hela yake haionekani hao ndio wabaya watuponzao wote.
Hapa umeongea point kubwa sana ambayo ndo chanzo cha baadhi ya sisi wanaume kuonekana wabahili kwa hawa wanawake wasio offer chochote zaidi ya sex 🤞.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…