Fanyeni kazi mjihudumie,
Nimegundua ukiachana na viongozi wasio na weredi kundi lingine linalosababisha kama nchi hatupigi hatua ni wanawake. Wanapenda vya kupewa kuliko kufanya kazi na kupata wanyohitaji kwa juhudi zao.
Wanawake wengi wanawaza kuishi nyumba nzuri, awe na gari nzuri, Simu nzuri, mavazi ya gharama n.k. Ila vyote hivyo anadhani atavipata kwa mwanaume, wengi hawana plan yoyote ya kupata hayo mahitaji kutoka kwenye juhudi zao, wanasubiri wahongwe.
Pesa ya mwanaume inamajukumu mengi sana, basi hiyo yakwenu ambayo haifahamiki inafanyaga nini muitumie kujitunza, ununue Simu yako, mavazi yako n.k ili mwanaume afanye vitu vya msingi