Mna mambo nyie kujua aina ya makoti pia ni sifa. Kweli nyie wanaume wa darUtavaaje koti shambani wakirud nyumban wanajikusanaya kwenye moto wanaanza kuota sasa muda na aina za makoti watajulia wap?
Kuna mmoja aliuliza huku eti huu umeme unavyokatika mara kwa mara... mabasi ya mwendo kasi yana tija gani.Huyu inabd asubir subir tukamtembeze kwenye fly over ya tazara na lile daraja la salenda la kupita baharin
washukuru sana technolgy hii JF wangekua wanaiona kwenye TV ile case ya kina Max
Sasa unafikr kila koti unavaa enhee sio kila koti jeupe daktari wengne wauza nyama mama shaur yakoMna mambo nyie kujua aina ya makoti pia ni sifa. Kweli nyie wanaume wa dar
Ha ha ha ha ha dah et umeme na mwendokas duuh nmecheka sanaa ha ha ha haKuna mmoja aliuliza huku eti huu umeme unavyokatika mara kwa mara... mabasi ya mwendo kasi yana tija gani.
Nilivyojua ni mchunga mbuzi wala sikuhangaika kumwelimisha
Hahahaa! Mbona sijasikia kwenye taarifa ya habari kama vipo hivyo unavyovisema.Huyu inabd asubir subir tukamtembeze kwenye fly over ya tazara na lile daraja la salenda la kupita baharin
washukuru sana technolgy hii JF wangekua wanaiona kwenye TV ile case ya kina Max
Tunawashukuru sana tatizo mna viherehere. Tukiamua kuagiza mchele wa malaysia viazi vyenu mtawalisha nguruwe. Shauri zenu...Ndio mtushukuru sasa.
Kwan huko mikoan mna Chanel gan zaid ya TBC jion mnakutana kwa baloz kuangaliaHahahaa! Mbona sijasikia kwenye taarifa ya habari kama vipo hivyo unavyovisema.
Hiyo ndio sifa yenu sishangai mje huku basi mtufundisheSasa unafikr kila koti unavaa enhee sio kila koti jeupe daktari wengne wauza nyama mama shaur yako
Hilo ndio tatizo mnajua vitu halafu ni wachoyo kutoa elimu. Kwani babu ungemuelimisha ungepungukiwa nini.Kuna mmoja aliuliza huku eti huu umeme unavyokatika mara kwa mara... mabasi ya mwendo kasi yana tija gani.
Nilivyojua ni mchunga mbuzi wala sikuhangaika kumwelimisha
Tuwafundishe nn sasa bakin huko huko mtumiwe hela za kulima kwanza nashangaa wa Mkoan mnaijua mpaka JF mmumshukuru sana Max melo aiseeHiyo ndio sifa yenu sishangai mje huku basi mtufundishe
Mwisho wa siku huo moshi wa hizo kuni unawaathiri macho.Halafu wanaanza kuuwana kisa macho mekundu ni wachawi.Utavaaje koti shambani wakirud nyumban wanajikusanaya kwenye moto wanaanza kuota sasa muda na aina za makoti watajulia wap?
Tunamuamini mheshimiwa hawezi kukubali kirahisi wakati sisi tunalima huku nyie mkanunue mchele nje hivyo mtake msitake mtanunua tuTunawashukuru sana tatizo mna viherehere. Tukiamua kuagiza mchele wa malaysia viazi vyenu mtawalisha nguruwe. Shauri zenu...
Acha kumbe uchawi wanautengeneza wao wenyewe halafu badae wanataka tuwasaidie kusema ili waonewe hurumaMwisho wa siku huo moshi wa hizo kuni unawaathiri macho.Halafu wanaanza kuuwana kisa macho mekundu ni wachawi.
ndo ujue ujinga ni donda la kichwa.
Ushamba mzigo ziliachwa nyanya tu mkapiga kelele mwez mzimaTunamuamini mheshimiwa hawezi kukubali kirahisi wakati sisi tunalima huku nyie mkanunue mchele nje hivyo mtake msitake mtanunua tu
Uzuri kwenye TBC tunapata vitu vya maana sio kama nyie huko mnaishia kuangalia miziki tu hata kama nchi imepinduliwa hamjui.Kwan huko mikoan mna Chanel gan zaid ya TBC jion mnakutana kwa baloz kuangalia
Ndio mambo ya kimjini mjini we lazima uyashangae tu hamna namna.Hahahaaa! Unadhani tunalia basi. Mnatushangaza tu mambo yenu
Ndio ujue tumewazidi kila kituTuwafundishe nn sasa bakin huko huko mtumiwe hela za kulima kwanza nashangaa wa Mkoan mnaijua mpaka JF mmumshukuru sana Max melo aisee
Embu tunza bas huo ufahamu ulionao kidogo maana dah unasema TBC unapata vitu vya maana mmesahau mh anapenda 360 enhee??Uzuri kwenye TBC tunapata vitu vya maana sio kama nyie huko mnaishia kuangalia miziki tu hata kama nchi imepinduliwa hamjui.
Dah watu wa mikoan mnapenda lig aiseeNdio ujue tumewazidi kila kitu