bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,169
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umeua kabisaHata hayo mashamba yenyewe mengine ni yetu ila tumewaweka tu hapo kama vidampa watufanyie kazi sisi tunakula maisha tu huku wao wanasubiri hela toka kwetu.
Utavisikia wapi wakati huko kolomije hakuna umemeHahahaa! Mbona sijasikia kwenye taarifa ya habari kama vipo hivyo unavyovisema.
Kwani kusikiliza au kuangalia taarifa ya habari mpaka kuwe na umeme. LolUtavisikia wapi wakati huko kolomije hakuna umeme
We unadhani mpaka uone TV au usikilize redio nyaya utazichomeka kwenye papuchiKwani kusikiliza au kuangalia taarifa ya habari mpaka kuwe na umeme. Lol
Zidi kujidanganya. Na hatupo hapa kutoleana maneno machafu.We unadhani mpaka uone TV au usikilize redio nyaya utazichomeka kwenye papuchi
Lol niheshimiwe na wa mikoani ili iweje?Zidi kujidanganya. Na hatupo hapa kutoleana maneno machafu.
Jiheshimu utaheshimiwa.
Usilolijua siku zote lazima likusumbue.Lol niheshimiwe na wa mikoani ili iweje?
Aibu rudi kolomije kalime uweleUsilolijua siku zote lazima likusumbue.
Nacheka kwa dharau
Umeenda kuchek afya yako?Miili yetu haijazoea baridi... Ko msitushangae!!! Mimi miaka kadhaa nyuma niliwai enda mbeya mwezi wa sita, wiki mbili tu ikabidi wanirudishe Dar, nilipata pneumonia [emoji23][emoji23][emoji23]... Nikaenda tena mwezi wa joto wenzangu wanavaa visinglet mimi navaa likoti hilooo sababu ya baridi.
Ila sasa ivi mwili wangu ushazoea baridi... Nilivyorudi Tz nikawa naona joto kali sana...
Kutuhulumia =kutuhurumiaEndelea kutuhulumia hvo hvo
Mnadeka sana tatizooo banaaMiili yetu haijazoea baridi... Ko msitushangae!!! Mimi miaka kadhaa nyuma niliwai enda mbeya mwezi wa sita, wiki mbili tu ikabidi wanirudishe Dar, nilipata pneumonia [emoji23][emoji23][emoji23]... Nikaenda tena mwezi wa joto wenzangu wanavaa visinglet mimi navaa likoti hilooo sababu ya baridi.
Ila sasa ivi mwili wangu ushazoea baridi... Nilivyorudi Tz nikawa naona joto kali sana...
Angalia post ya juu kabla ya hiyoKutuhulumia =kutuhurumia