Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Familia ya vilaini a.k.a familia ya chipsi yai na kuku wa wiki wa arv..family ya no pooling..familia ya booster.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata hayo mashamba yenyewe mengine ni yetu ila tumewaweka tu hapo kama vidampa watufanyie kazi sisi tunakula maisha tu huku wao wanasubiri hela toka kwetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umeua kabisa
 
Mbona nimeenda njombe wanavaa madera na chipsi kwa wingi na pepsi kama kawaida
 
Tanzania ili usonge mbele tunahitaji watu wenye mawazo yenye tija sio haya mawazo Mgando.
 
Mtoa mada inaonekana mtihani wa kiswahili ulipata fa fa fa fa fa kama bashite.
 
Miili yetu haijazoea baridi... Ko msitushangae!!! Mimi miaka kadhaa nyuma niliwai enda mbeya mwezi wa sita, wiki mbili tu ikabidi wanirudishe Dar, nilipata pneumonia [emoji23][emoji23][emoji23]... Nikaenda tena mwezi wa joto wenzangu wanavaa visinglet mimi navaa likoti hilooo sababu ya baridi.
Ila sasa ivi mwili wangu ushazoea baridi... Nilivyorudi Tz nikawa naona joto kali sana...
Umeenda kuchek afya yako?
 
Mnadeka sana tatizooo banaa
 
Back
Top Bottom