Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Hahahahaa sasa mm nshannua kot mwaka mza sijalivaa ulitaka nivae lin au kwa mfano ndani ya mwaka mm najifunika shuka Siku Tatu tu ulitak nifanye nn
 
Ila nyie wa dar mmezidi kushangaza
 
Nilijua ndio kama hayo ya arusha kumbe mnavaa ya kawaida ili muonekane nadhifu basi hapo sawa.

Sio kama hilo analosema kavaa Bonny

Hilo la Bonny hata silielewi elewi hata mimi, labda ukute ana mishe za usiku ambazo hataki kuonekana vizuri ndo analitumia.
 
Tunazungumzia mnavyovaa hayo makoti jamani kuja mjini ni muhimu kwa sababu hakuna asiyependa kubadilisha mazingira.
Kwan hayo mazingira mnabadilishia daslam kila siku c muwe mnahama mkoa mmoja kwenda mwengne
 
Hivi wa mikoani hawajui ki inglishi, yani unajiita lofa.

loafer = lofa

Au ulikua unamaanisha law firm
Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…