Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Dar panapendwa sana hadi watu wivu unawasumbua namna hiyo.!
Hamieni dar tu mana hamna namna sasa
Yanini mteseke bure.?
Hahahaa! Unadhani tunateseka basi tunapenda tu kuja kuwashangaa mambo yenu.
 
Hata hakuna huku watu wamenyooka wanajua kila kitu kina sehemu yake ila sio huko
Kwan sie ulikuta tunavaa kipind cha jua?
C mvua imeanza tumevaa shida iko wap wakat hakuna utaratibu uliovunjwa
 
Basi yaishe. Endelea kuvaa.

Hahahaa! Hiyo ndio shida mshaanza kupanic
Povu mmeanza nalo nyie maana mmeanza oooh mvua kidogo mshavaa koti sasa mlitaka tusubir mafuriko ndio tuvae Jaman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…