Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Dar panapendwa sana hadi watu wivu unawasumbua namna hiyo.!
Hamieni dar tu mana hamna namna sasa
Yanini mteseke bure.?
Hahahaa! Unadhani tunateseka basi tunapenda tu kuja kuwashangaa mambo yenu.
 
Hata nami nilihisi hivyo ujue.

images
images


Ha ha ha, Bonny atakuwa nalo moja kati ya haya.
 
Hata hakuna huku watu wamenyooka wanajua kila kitu kina sehemu yake ila sio huko
Kwan sie ulikuta tunavaa kipind cha jua?
C mvua imeanza tumevaa shida iko wap wakat hakuna utaratibu uliovunjwa
 
Basi yaishe. Endelea kuvaa.

Hahahaa! Hiyo ndio shida mshaanza kupanic
Povu mmeanza nalo nyie maana mmeanza oooh mvua kidogo mshavaa koti sasa mlitaka tusubir mafuriko ndio tuvae Jaman?
 
Back
Top Bottom