Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa! Unadhani tunateseka basi tunapenda tu kuja kuwashangaa mambo yenu.Dar panapendwa sana hadi watu wivu unawasumbua namna hiyo.!
Hamieni dar tu mana hamna namna sasa
Yanini mteseke bure.?
Sjajua kip kinachowakera haswa maana uvaaj wetu shida iko wapMnazingua sana
Mje muwaone akina kipepe , madenge, profesa ndumilakuwili, wapo hukuTunazungumzia mnavyovaa hayo makoti jamani kuja mjini ni muhimu kwa sababu hakuna asiyependa kubadilisha mazingira.
Upendo huo mmeutoa wapi naona mmetoka kwenye chips mnahamia kwwnye mavaziHaituhusu ila mkiwa watanzania wenzetu mnatushangaza. Khaaa
Basi yaishe. Endelea kuvaa.Hiv koti langu wewe inakukera nn haswa maana navaa mwwnyewe shida iko wap kwako
Hahahaa! TutakaribiaMje muwaone akina kipepe , madenge, profesa ndumilakuwili, wapo huku
Kwan sie ulikuta tunavaa kipind cha jua?Hata hakuna huku watu wamenyooka wanajua kila kitu kina sehemu yake ila sio huko
Ukanda uleeee..Sasa kati yako na hao uliowataja nani anachekesha? hebu angalia heading yako
"wanahume"
Mvae yakawaida basiKwan sie ulikuta tunavaa kipind cha jua?
C mvua imeanza tumevaa shida iko wap wakat hakuna utaratibu uliovunjwa
Povu mmeanza nalo nyie maana mmeanza oooh mvua kidogo mshavaa koti sasa mlitaka tusubir mafuriko ndio tuvae Jaman?Basi yaishe. Endelea kuvaa.
Hahahaa! Hiyo ndio shida mshaanza kupanic
Litakuwa hilo hapo juu kushoto yaani anaficha mpaka uso
Ha ha ha ha ha hili la kijasus aiseee
Ha ha ha ha ha hili la kijasus aiseee
Ya kawaida ndio yakoje?Mvae yakawaida basi
Ila pia kwa kupenda chips daah mungu anawaonaUpendo huo mmeutoa wapi naona mmetoka kwenye chips mnahamia kwwnye mavazi
Sasa mnatakiwa kutuheshimu sisi tunaowatumia hela ya matumizi watu wa mikoaniNdio mshukuru sasa wote tungejazana huko dsm mngekula nini?
Watu wa mkoan bwana hata upande wa kulia haujuiLitakuwa hilo hapo juu kulia yaani anaficha mpaka uso