Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Ha ha ha ha mmesahau tukija mikoan kila nyumba mnatupitsha ili tusalimie ili mrad tu uonekane na wewe umepata mgeni wa daslam
Ndio hulka yetu ukarimu sio huko tukija unakuta mtu umemzowea hata kwake hataki kukupeleka kisa aibu ya anapoishi.
 
Ndio hulka yetu ukarimu sio huko tukija unakuta mtu umemzowea hata kwake hataki kukupeleka kisa aibu ya anapoishi.
Kama tunapokaa aibu kwenu kinachowaleta mjin ni kip haswa? we emmyta ukija mjin unaonekana utatapeliwa asubh na mapemaa
 
Huyo c wa milimani mwambie alime tu aisee hakuna namna akija mjin nan atakaelima sie tutapeleka hela wao walime mavaz yetu watuachie kama yalivyo
Ewaaa watuache sisi tuvae makoti kipindi cha mvua, wao hawayahitaji maana kipindi cha mvua wao wanakuwa bize kulima ili watoto wa mjini tusife njaa....
 
Ewaaa watuache sisi tuvae makoti kipindi cha mvua, wao hawayahitaji maana kipindi cha mvua wao wanakuwa bize kulima ili watoto wa mjini tusife njaa....
Utavaaje koti shambani wakirud nyumban wanajikusanaya kwenye moto wanaanza kuota sasa muda na aina za makoti watajulia wap?
 
Mwambie siku hizi mjini kuna kivutio kipya cha washamba kinaitwa "mwendo kasi"
Huyu inabd asubir subir tukamtembeze kwenye fly over ya tazara na lile daraja la salenda la kupita baharin
washukuru sana technolgy hii JF wangekua wanaiona kwenye TV ile case ya kina Max
 
Ewaaa watuache sisi tuvae makoti kipindi cha mvua, wao hawayahitaji maana kipindi cha mvua wao wanakuwa bize kulima ili watoto wa mjini tusife njaa....
Ndio mtushukuru sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…