harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Unaweza ila kupiga selfie hutafuti pesa huo naita upimbiEti Khantwe anauliza haiwezekani kutafuta pesa huku unapiga selfie japo kwa week mara 7.[emoji125]
Wacha wee. U mzuri eeehUwongoo mtuuuuupu.......watu wazur lakin hawana huo mda
Hyo kazi ya watoto kuuza sura
Sanaaaa tu jiraniWacha wee. U mzuri eeeh
OouhUnaweza ila kupiga selfie hutafuti pesa huo naita upimbi
Jirani mwandiko unaonyesha tu.Sanaaaa tu jirani
Unaseti mipango ikiwa inaenda unachatiOouh
Mfano hapa tunachat huku tunatafuta. Pesa sabuni ya roho aseeh chaliakee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] alafu jiran mdogo ako kakuandama sana toka usiku kila kitu dabyJirani mwandiko unaonyesha tu.
Haya bwana nitafanyaje sasa na mtakatifu kashakuwahi
Yupo kwenye relief ndiyo maana simjibu.[emoji28] [emoji28] [emoji28] alafu jiran mdogo ako kakuandama sana toka usiku kila kitu daby