Wanaume na wanawake wasiopenda kujipiga selfie wana sura mbaya

Wanaume na wanawake wasiopenda kujipiga selfie wana sura mbaya

Mwanaume kujipiga selfie ni ushoga

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa dar bwana akili zao wanazijua wenyewe
 
Nipige picha (selfie) kwa faida ipi kwa nini yaaani? Nitapata kipi nisichojua itanibadilisha mimi?

Pambana Na Hali Yako mkuu..,
Tafuta pesa, jipange, fanya maendeleo na hatimae matunda ya jitihada na bidii yako ndio yatakuwa SELFIE au REFLECTION yako wewe mwenyewe.

Achana na hizo sijui ndio selfie
PAMBANA NA HALI YAKO na pia ukumbuke "MWANAUME KUWA NA PESA NI SAWA NA DEM KUWA MZURI"
 
Jirani mwandiko unaonyesha tu.
Haya bwana nitafanyaje sasa na mtakatifu kashakuwahi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] alafu jiran mdogo ako kakuandama sana toka usiku kila kitu daby
 
Nilikua najiridhisha kwanza kwa kupitia mabandiko yako....[emoji2] [emoji2]
Basi sawa....
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
umekula maharage ya wapi mkuu,,sio sawa kusema mtu anasura mbaya,,kwanza kupiga piga vi selfie ni utoto + ulimbukeni
 
Back
Top Bottom